Recent content by alfazulu

  1. A

    JamiiForums Tanzania Zitto kuaga wabunge wenzake leo - Machi 19, 2015

    onesha ushahid uwe mkweli. otherwise ni madhara ya tez dume yanaksumbua
  2. A

    JamiiForums Tanzania Askofu Kilaini: Nitazirejesha fedha za Rugemalira

    mh? hapo pana walakin.......natumai waelewa maana ya acc binafsi. makanisa yoooote yana bank acc, hata miradi ya kanisa ina acc zake. tafakari kidooogo tu.....
  3. A

    JamiiForums Tanzania Ni wakati muafaka sasa nchi ikaendeshwa kwa majimbo

    hii nayo mpya....rais wa COUNTY????? tezi dume augue mwngne, madhara yakupate wewe...shiiiiiiiidaaaa
  4. A

    JamiiForums Tanzania Wabunge wa CCM waliowakaanga Mawaziri kwa kutegemea kuvaa viatu vyao waambulia Patupu

    eh siamini kma wewe ni Tanzania mzawa mwenye uchungu na nchi yako. au umeathirika na tezi Dume.
  5. A

    JamiiForums Tanzania Angalizo Kwa UKAWA! Kuweni Makini Na Hili Tafadhali!

    weka facts ni kwana namna gani anabaniwa badala ya kubwabwaja, weka facts ni kwanamna gani waona slaa kapoteza mvuto na kwa vipimo vipi, hapo ndo tutakuelewa. kama waamini lipumba ni msomi basi amino pia yupo ktk nafasi nzuri zaidi kuliko wewe ya kuelewa iwapo anabaniwa au anamvuto kiasi gani.
  6. A

    JamiiForums Tanzania Wosia aliouacha prof Muhongo mmeuelewa?

    kwamba heri kuwatajirisha wageni kuliko watanzania wenye gesi yao? nilizima watanzania washiriki kikamilifu kuanzia hatua ya kwanza ya uendelezaji wa miradi ya gesi hata kwa partnership na makampuni ya nje zaidi ya hapo yatakuwa Yale Yale ya madini. tujifunze jamani.
  7. A

    JamiiForums Tanzania Kikwete unamuogopa Mwakyembe

    hv kuwa waziri wa serikali Hii maana yake ni umekuwa waziri wa jimbo lako?
  8. A

    JamiiForums Tanzania Wasomi vyuo vikuu Dodoma watoa tamko kuunga mkono tamko la Jumuiya ya Wanazuoni

    WAJINGA??????? sappoz mh rais akaamua kufanya mabadiliko ktk baraza la mawaziri kutokana na impact ya eskro yeye utamuitaje? unalo mrembo. tafakari.
  9. A

    JamiiForums Tanzania Wasomi vyuo vikuu Dodoma watoa tamko kuunga mkono tamko la Jumuiya ya Wanazuoni

    Fanya kautafiti kadogo tu tena kwakuangalia bajeti ya serikali tu. then uamue kama hao ni nyau kweli na wana ng'ata kiasi gani. tafakari.
  10. A

    JamiiForums Tanzania Mtoto wa Mgimwa amenifikirisha sana

    kumbe ukimtaja marehemu huwa una mdisturb kaburini? duh hii ndio bongo bana
  11. A

    JamiiForums Tanzania Mwandosya aitwa Dar kwa shughuli maalum

    rais ni taasisi kama jakaya hayupo yaiimanishi taasisi haipo.
  12. A

    JamiiForums Tanzania Kosa la Rugemalira ni nini ?

    aliuza hisa kwa kampuni bandia. akalipwa fedha zisizomilikiwa na kampuni hiyo kisheria. otherwise hana makosa ktk kugawa hela aliyodhani niyake.
  13. A

    JamiiForums Tanzania James Rugemalira ana biashara lukuki, akimpa mtu hela si lazima iwe ya ESCROW

    mfanyabiashara anagawa hela? duh? only in bongo....
  14. A

    JamiiForums Tanzania Picha: Zinaonesha Prof. Lipumba na TEAM yake walivyoizika CCM Jimbo la MCHINGA Mkoa wa Kusini

    dah miwani za mbao hatari sana......
  15. A

    JamiiForums Tanzania Hivi itakuwaje Zitto akishinda kesi yake?

    hawez kufukuzwa? mbona kama wameshamfkuza tayar au nimekulew vbaya political prostitute?
Back
Top Bottom