Recent content by BONNIE GOLD

  1. BONNIE GOLD

    Arsenal (The Gunners) | Special Thread

    Sio kwa ubaya, ila tunakumbushana tuu 1. Carabao cup : ❌❌❌❌ 2:EPL loading : FALSE HOPE 🔞 3: UEFA loading: FALSE HOPE🔞 4: FA Cup : FALSE HOPE: ❌❌❌❌
  2. BONNIE GOLD

    Arsenal (The Gunners) | Special Thread

    Hamjachelewa.Mtimueni arteta, leteni Mourinho mmlazie msimu
  3. BONNIE GOLD

    Arsenal (The Gunners) | Special Thread

    Hawa mwaka huu kama mwaka Jana. Hakuna kombe lolote wanapata
  4. BONNIE GOLD

    Arsenal (The Gunners) | Special Thread

    Hivi sisi na nyinyi lini vile?
  5. BONNIE GOLD

    Arsenal (The Gunners) | Special Thread

    Msimu ulopita mlipata kichaka cha dada Salima kuumia.Msimu huu sasa
  6. BONNIE GOLD

    Arsenal (The Gunners) | Special Thread

    Hiii ndo Arsenal tunayoijua sasa
  7. BONNIE GOLD

    Arsenal (The Gunners) | Special Thread

    Bado dakika kama 10 hivi Kuna ndoto za watu zipotee 1. Carabao cup : ❌❌❌❌ 2:EPL loading : FALSE HOPE 🔞 3: UEFA loading: FALSE HOPE🔞 4: FA Cup : FALSE HOPE: ❌❌❌❌ Tutatudi J5 baada ya Bayern kufanya yake
  8. BONNIE GOLD

    Arsenal (The Gunners) | Special Thread

    Kona goooliiiii Kona goooliiiii
  9. BONNIE GOLD

    Arsenal (The Gunners) | Special Thread

    “If you think this has a happy ending, you haven’t been paying attention"
  10. BONNIE GOLD

    Arsenal (The Gunners) | Special Thread

    Mganga wenu msimwache maninaaaa!!!
  11. BONNIE GOLD

    Arsenal (The Gunners) | Special Thread

    Friends of Villa.Tunasubiri kuvas miwani
  12. BONNIE GOLD

    Arsenal (The Gunners) | Special Thread

    1. Carabao cup: ❌❌❌❌ 2:EPL loading: FALSE HOPE 🔞 3: UEFA loading: FALSE HOPE🔞 4: FA Cup : FALSE HOPE: ❌❌❌❌
  13. BONNIE GOLD

    Real Madrid (‎Los Blancos) | Special Thread

    Sikucheki game la Barca, nimeona matokeo tu hapa.Ila kama El Cholo atatoboa ujerumani basi njia ya Barca kufika fainali ni nyeupe, provided that atapita. Why?EL cholo hajawahi kumfunga Xavi tangu katua Barca. Na sioni akianza mara hii
  14. BONNIE GOLD

    Arsenal (The Gunners) | Special Thread

    Mimi nitakuwa napita daily humu kuwakumbusha, mpaka mashindano yote 23/24 yaishe. 1. Carabao cup : ❌❌❌❌ 2:EPL loading : FALSE HOPE 🔞 3: UEFA loading: FALSE HOPE🔞 4: FA Cup : FALSE HOPE: ❌❌❌❌
  15. BONNIE GOLD

    Arsenal (The Gunners) | Special Thread

    Kweli kondoo ni kondoo. Wakati wewe unafikiria mechi ijayo mbadilike muwe kondoo wa tofauti, unadhani Tuchel naye atabaki vile vile tuu. Tuchel ambaye amecheza fainali za UCL mara mbili, Moja ambayo amebeba Hilo kombe.
Back
Top Bottom