Recent content by Street Hustler

  1. Street Hustler

    Naishi na Mwanamke Nisiemfahamu, Nahitaji Namna Nzuri ya Kumuacha

    Mpaka nguo umenunua kupika anakupikia na hana makuu mpole mstaarabu Sasa ubasubiri Nini? Kipengele kitakachokusumbua maisha Yako n Dating app
  2. Street Hustler

    Picha: Vyombo vya CCM

    Hzo gharama za billboard, kutengeneza t-shirt, kutengeneza kanga, kuita watu vikao, kugawa pesa kwenye vikundi, yoote hayo wangefungua hata mfuko wenye jina walipendalo alafu likawa linafanya juhudi za kusaidia na kuleta maendeleo kwa watanzania nadhan hzo kura wangezipata kirahisi mno kuliko hv...
  3. Street Hustler

    Landmark za Hayati Magufuli zinazowatesa wale jamaa ambao hawakuacha chochote

    October 2025 kama hawatotumia akili ya kwenda na msimamizi mkuu wa serikali aisee Kuna mmoja wa upinzani akiwa SMART anachukua ila huyo wa upinzani atatokea humohumo kwenye chama chao na atafata nyayo za JPM
  4. Street Hustler

    Najuta zaidi ya Tsh. 500m nimezika katika majengo, mtaji wa kufanyia biashara umepungua pakubwa sana

    Nyumba n asset hata kama unafanya biashara mtwara nyumba ipo mara.
  5. Street Hustler

    Najuta zaidi ya Tsh. 500m nimezika katika majengo, mtaji wa kufanyia biashara umepungua pakubwa sana

    Mfanyabiashara gani mwenye 100m+ unashindwa kujua kuwa nyumba n asset yaan wewe tumeshindwa kujua hata watu waliokuzungukuka wameshindwa kujua hata maafisa mikopo wameshindwa kukuelewesha. Itakuwa huna hyo biashara kama unayo basi jua unakoelekea ni kwenye zile stori za unajua Mimi nilikuwaga...
  6. Street Hustler

    Rafiki yangu anaumwa Fungus toka miaka mitatu iliyopita

    Hyo n kwa nje tuu nikimaanisha sehemu nyeti, vidoleni, mgongoni, shingoni, hapo siku hyohyo unaanza pata majibu hapo utakuwa unabandua cover lilikwisha unakuwa na cover jipya kama nyoka
  7. Street Hustler

    Rafiki yangu anaumwa Fungus toka miaka mitatu iliyopita

    Ushauri wa bure na rahisi atumie Dettol ya maji apake kwenye muwasho hii n dawa na tiba kwa wenye fangasi nje ya mwili
  8. Street Hustler

    Mtaji wa 46M faida 540,000, pia mtaji wa 45M faida 576,000

    Biashara n nyingi Mzee Kuna nguo, viatu, saa, heren, bangili, michezo ya watoto, vyombo, vipodozi, spea za pikipiki na magari, decoration za nyumbani na magari, nguo za ndani, mtumba hvyo vyote Mzee ukininua hata hapa bongo unapata zaidi ya 30% kama faida kwenye mtaji wako baada ya kutoa Kila...
  9. Street Hustler

    Mtaji wa 46M faida 540,000, pia mtaji wa 45M faida 576,000

    malembeka18 kama una passport muda na huo mtaji Kuna safari ya wafanyabiashara imeandaliwa mwez April kwenda Canton fair china kama upo tayari njoo tujiset
  10. Street Hustler

    Naomba kujua zinakopatikana khanga za Mombasa

    Sijaenda muda aisee pia Sasa shilingi yao imepanda lakin nitatembelea huko mwez April katikati
  11. Street Hustler

    Mtaji wa 46M faida 540,000, pia mtaji wa 45M faida 576,000

    Ndugu biashara ni somo ambalo watanzania wengi hawakufaulu Kuna nyuzi nyingi sana za kuomba mawazo ya biashara gani mtu afanye na anaeomba ana mtaji mkubwa tuu lakini ushauri uliomo inabidi tufikirie kuoa mchaga tuu huenda ukapata wazo zuri la biashara. 1. Jingalie kama wewe ni mtu wa biashara...
  12. Street Hustler

    Kwenye awamu ya 5 viongozi wote Wastaafu na waliokuwa madarakani mawasiliano yao yalidukuliwa na kuanikwa hadharani. Faragha zao zilipuuzwa

    Mambo ambayo hayatija tija kwenye biashara au shughuli zako usipende kujishughulisha nayo, mmetufanya tufikirie mara mbili tatu na mwenendo wa chama chenu hasa sie tuliopigania chama enzi hzo bonyai akiwa hata Bado redbriged.
  13. Street Hustler

    Wiki tatu nyuma Ksh dhidi ya Tsh ilikuwa 16.3, Leo 21.1. Wachumi wa Tanzania mnatusaidiaje?

    Unaelewa maana ya black market? Kwenye black market kitu kikiwa kinauzwa huko sokoni 100 basi black market unakipata kwa chini ya hapo mpaka nusu Bei. Rate unayoiona kwenye website za BUREAU au BOT kamwe huwez badilisha nayo pesa wenye pesa ambazo n bank na taasisi za kifedha huzibadilisha kwa...
Back
Top Bottom