Recent content by Alaik

  1. Alaik

    Hiki ni kipindi sahihi cha kuomba kazi NGOs

    Zipo NGO zinamfumo huo wa kuwa na volunteers au interns alafu baadaye wanawapa full employment. Ila wapo wengine ni wanyonyaji wanakutumia alafu wanakutupa. As long as hujapata full employment unaruhusiwa ku apply kazi as much as you can. Labda kama ulipo unaona possibility ya kuajiriwa.
  2. Alaik

    Hizi mboga na nafaka kiingereza chake ni kipi?

    Pitia hapa kwanza https://www.homestratosphere.com/different-types-of-nuts/
  3. Alaik

    Hizi mboga na nafaka kiingereza chake ni kipi?

    Pia ni kongezea: Mchunga sio salad bali ni wild lettuce. Salad ni aina ya mboga inayoota kama magugu maji na inapatikana kwa wingi Arusha na Moshi hasa katika maeneo yenye maji maji au mifereji. Jina Mchunga ni la kiswahili
  4. Alaik

    Hizi mboga na nafaka kiingereza chake ni kipi?

    Mgagani unaitwa Spider plant. Ni moja ya mboga za asili zenye virutubisho vingi ikiwemo kiwango kikubwa cha madini ya chuma
  5. Alaik

    Hizi mboga na nafaka kiingereza chake ni kipi?

    Hapana mkuu mimi nilisoma kilimo na ni mtafiti wa kilimo biashara
  6. Alaik

    Hizi mboga na nafaka kiingereza chake ni kipi?

    Sikulazimishi ila naomba niseme wewe hujui unachosema na utakuja kujua baadaye utakapoacha ushindani ukakaa kujifunza. Usilishe watu uongo. Haijalishi uongo umesemwa na watu wengi haimaanishi ni ukweli. Usiku mwema
  7. Alaik

    Hizi mboga na nafaka kiingereza chake ni kipi?

    Kama lilivyo jina lako basi ndivyo ulivyo. Najivunia kuwa graduate wa SUA na najivunia kuwa mtaalamu wa Kilimo. Hujui kilimo tulia wala usilete porojo.
  8. Alaik

    Hizi mboga na nafaka kiingereza chake ni kipi?

    [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji28] Mkuu naomba nisiseme neno
  9. Alaik

    Hizi mboga na nafaka kiingereza chake ni kipi?

    Tusibishane mkuu. Ila usidanganye na heshimu tasnia za watu. Umesema wewe ni mtu wa lishe hivyo naheshimu tasnia yako. Sijakosea hata moja na tukubaliane kutokukubaliana katika hili
  10. Alaik

    Hizi mboga na nafaka kiingereza chake ni kipi?

    Sijui nikujibuje lakini kilimo ni utaalamu au sayansi ya vitendo. Ni kama utaalamu mwingine wowote. Ukienda SUA utaelewa zaidi maana zipo shahada zaidi ya 20 tofauti za kilimo
  11. Alaik

    Hizi mboga na nafaka kiingereza chake ni kipi?

    Kilimo tunakisoma kwa kiingereza. Unavijua kama mtaalamu wa lishe kwa lugha ipi? Majina yote niliyoyayoa nipo sahihi na nina uhakika 100% na ukitaka scientific names pia nitakupa. Hata ukitaka ingredients za hizo mboga na mazao nitakupa pia
  12. Alaik

    Hizi mboga na nafaka kiingereza chake ni kipi?

    Mimi ni mtaalamu wa kilimo. Najua ninachosema ndugu
  13. Alaik

    Hizi mboga na nafaka kiingereza chake ni kipi?

    Mchicha sio Spinach, wala choroko sio Lentils, nyanya chungu sio garden eggs pia. Hoho kuita Bell pepper ni sawa but common name ni S.peppers
  14. Alaik

    Hizi mboga na nafaka kiingereza chake ni kipi?

    Barbara nuts ni Njugu na sio Mbaazi. Google basi kabla huja comment kujiridhisha. Mimi ni mtu wa kilimo ndugu
Back
Top Bottom