Recent content by Rais wa Matajiri

  1. Rais wa Matajiri

    Saed Kubenea: Je, Kafulila huyu wa UDART leo ndio yule yule wa IPTL na Escrow?

    Mkuu nadhani Ndio maana haya maridhiano yanachukua muda mrefu
  2. Rais wa Matajiri

    Saed Kubenea: Je, Kafulila huyu wa UDART leo ndio yule yule wa IPTL na Escrow?

    Kama unakubali kuwa Kafulila ni smart amini pia anapokwambia kuwa Mama ameifungua nchi .
  3. Rais wa Matajiri

    Saed Kubenea: Je, Kafulila huyu wa UDART leo ndio yule yule wa IPTL na Escrow?

    Mbona Mbowe nae Kalamba lakini bado anapambana tu
  4. Rais wa Matajiri

    Saed Kubenea: Je, Kafulila huyu wa UDART leo ndio yule yule wa IPTL na Escrow?

    Kafulila huyu wa UDART ni yeye yule aliyekuwa Mbunge machachari toka Jimbo la Kigoma Kusini ( 2010 - 2015 ). 2010-2015 Kafulila alikuwa moto mkali. Namwombea apate tena Ubunge 2025 tukapate Bunge vibrant
  5. Rais wa Matajiri

    Saed Kubenea: Je, Kafulila huyu wa UDART leo ndio yule yule wa IPTL na Escrow?

    Rais Samia hana skendo hata ya kula mia Mbovu ya Wananchi, Tumshukuru Mungu kwa hili
  6. Rais wa Matajiri

    Anayetakiwa kumrithi Uenezi Paul Makonda kwa hali na Siasa za sasa ni huyu

    Shida ni hiyo ila jamaa angebadili kabisa siasa za nchi hii, Kafulila ungempa 99%
  7. Rais wa Matajiri

    Kahama: Paul Makonda ataka Caroline apewe eneo la Serikali, Mkurugenzi asema kumiliki Ardhi ni jambo la kisheria sio siasa

    Sasa unamfukuza mtu anayetunza maeneo ya Umma ili kesho mje mjenge shule, zahanati, Solo etc Huu utakuwa ni ujinga wa kiwango cha lami
  8. Rais wa Matajiri

    Kahama: Paul Makonda ataka Caroline apewe eneo la Serikali, Mkurugenzi asema kumiliki Ardhi ni jambo la kisheria sio siasa

    Naunga mkono hoja hii, ikiwezekana wafanyiwe vetting mapema kabla ya kuwasilisha kero zao.
Back
Top Bottom