Recent content by Advisor

 1. A

  Yona & Mramba case

  Nimesoma kwenye ThisDay leo ANALYSIS: Mramba and Yona’s case: Is this the beginning of the end? IBRAHIM WERREMA THE presidential jet was bought. I am told it is currently not of much use, though! I am told further that the plane is too small, too big and too costly to keep in...
 2. A

  Rais Mteule Barack H. Obama!

  Denial State
 3. A

  Rais Mteule Barack H. Obama!

  Mwanakijiji unachanganya mambo sasa! Do not undermine the significance of things, e.g the step this nation, US, has made through the years. That's why you hear many women voting for McCain just because of Sarah Palin. Let them! They feel like their time has come. People vote for numerous...
 4. A

  Natafuta kazi

  Sawa lakini ungeipitia vizuri basi hiyo barua yako ya maombi ya kazi ili hayo makosa yaliyomo yarekebishwe. Maana ndugu yangu hiyo lugha na hiyo kazi unayotafuta, iko shughuli!!!
 5. A

  Waziri wa Nishati na Madini awawashia moto Wakorea kwa kumdharau

  Sina hakika kama ni lazima tujadili kila kitu lakini naona kama ndio trend yetu hapa JF. Lakini inashangaza sana kuona habari za heshima zinaingia hapa. Kwangu mimi nadhani hawa ni wafanyabiashara kama wafanyabiashara wengine. La muhimu kwao ni tija na wala sioni sehemu heshima inapoingia. Kama...
 6. A

  Kifo cha Mhe. Chacha Wangwe na uchunguzi wake

  Kifo cha Wangwe ni tukio halisi na la kusikitisha sana. Japo wote linatugusa kwa namna moja au nyingine ni tuko katika makundi tofauti. Nashauri kwamba kwa sababu hii si habari ya kufikirika, ni vema tuandike taarifa halisi ili wale tunaofuatilia tupate hizo taarifa badala ya kulibadili kama...
 7. A

  Je, Tanzania bado ni nchi ya Amani?

  Je, nchi yetu bado ni nchi ya amani? Sio watu wameamua kuwa watulivu na ideology ya CCM kuwa Tanzania ni kisiwa cha amani ndo inatawala? Nini hatma ya Tanzania endapo wananchi watachoka manyanyaso? ================ Tanzania no longer heaven of peace? IBRAHIM JOHN Dar es Salaam ThisDay...
 8. A

  TZ Embassy in DC Web

  Duh Kuhani, Nimependa sana hiyo analysis yako. Hopefully watasoma hawa jamaa.
 9. A

  JK Akwama Kwenye Daraja la Mkapa

  ThisDay, May 7th, 2008 ANALYSIS: JK stuck at Mkapa’s bridge? IBRAHIM JOHN Dar es Salaam TANZANIANS have stumbled upon stunning revelations on a sealed chapter of history that was never meant for everyone to read. These accidental revelations have introduced, in true colours, one of...
 10. A

  Form VI 08 Exam Results

  Kila information ninazojaza inasema "Sorry..."
 11. A

  Class Re-union Moshi Technical (1987)

  Class Re-union inaandaliwa na '87 class with the rest as invitees.
 12. A

  Class Re-union Moshi Technical (1987)

  CLASS RE-UNION MOSHI TECHNICAL (1987) Wengi wameomba kila mtu aliyekuwepo Moshi Tech mwaka 1987 ahusishwe, hata kama alikuwa kidato cha kwanza mwaka huo. Wengi wanaelekea kukubaliana na pendekezo hilo pia. Naomba hata wale waliokua vidato vya chini (kidato cha 1 mpaka cha 3) watume majina...
 13. A

  Silence Is Not Always Golden, Mr. President

  The Citizen Article of March 26th 08. Silence is not always golden, Mr President! Someone once said that �Talking is Silver and Silence is Gold�. It�s also known that there�s an exception to every rule. Agreeing with both schools of thought, I intend to...
 14. A

  Class Re-Union (Class of '87 - Moshi Technical)

  TzPride na wengine, Hata kama ulikuwa ndama wakati huo, napendekeza peleka jina lako kwenye email address iliyotolewa hapo juu ili upate ushauri wa wahusika. Nimeona kwenye blogu zingine watu wengi wamependekeza kuwe na wahitimu wengi zaidi ya Class '87. Kwa hiyo inaelekea kama mtakuwa wengi...
 15. A

  Listen KLHN "Live"... testing

  Kwanza kabisa nitoe pongezi zangu nyingi sana kwa Mwanakijiji. Hii ni hatua nzuri na tuko pamoja nawe kwa hali na....sorry! Pili napendekeza kusiwe na akina Lowassa na akina Karamagi huko. Tumechoka kuwasikia. Tunahitaji kumsikia mtu mmoja tu kwenye redio hiyo: Daudi Balali. Huyu anaweza kuwa...
Top Bottom