Recent content by abduel paul

  1. A

    Tamko la CHADEMA kuhusu Mafuriko lililotolewa na Dr. Slaa leo

    Dr. Slaa, nimekua navutiwa sana na sera za chama chenu ma uelekeo wa nia ya kulikomboa taifa, lakini ninapata wasiwasi na utayari na uthabiti wa nia yenu, kama walivyotangulia kusema baadhi ya wachangiaji ambao kimtazamo wangu nawaona si wanafiki wa kupongeza tuuu, hotuba za rambirambi na...
  2. A

    MAFURIKO: Hali ya usafiri Dar yawa tete, makazi yasombwa!

    Hapa sasa tusubiri makosa ya kiutendaji yatakayo elekezwa kwa serikali
  3. A

    MAFURIKO: Hali ya usafiri Dar yawa tete, makazi yasombwa!

    Kama kweli vyama vipo kwa ajili yetu, na Siasa ni msaada kwetu, mbona wakati huu tunatengwa? Ina maana vyama vya siasa vinasubiri tufe ili viongozi wake waanze kunyooshea vidole serikali?? Nakumbuka mauaji yaliyofanywa na askari kwa raia, katika maandamano yaliyo endeshwa na CDA, sikuona...
  4. A

    MAFURIKO: Hali ya usafiri Dar yawa tete, makazi yasombwa!

    Ndivyo ninavyoisoma taswira na mtazamo wangu kwa wanasiasa, heti kila kitu Serikali, vyama vyetu vya siasa ukiachia kuhamasisha na kuwakilisha wananchi katika kuikosoa, kudai haki, kutoa maelekezo kwa Serikali katika utendaji wake, na kutoa Elimu kwa wananchi, vyama vyetu wajibu wao uko wapi...
  5. A

    Miaka takribani 50 ya Uhuru Tanzania: Ni yapi ya kujivunia?

    Hakika A Town! Nini tufanye sasa? Tuko kwenye Unyama na Kujimegea!
  6. A

    Miaka takribani 50 ya Uhuru Tanzania: Ni yapi ya kujivunia?

    Ni bahati mbaya sana nchi yetu hatuja mpa Rais, yaani familia imekosa Baba
  7. A

    Miaka takribani 50 ya Uhuru Tanzania: Ni yapi ya kujivunia?

    Tumpe nchi Rais, tusiangalie anatoka chama gani, pili tuwajibike kila mtu kwa nafasi yake, kama tunavyo changia katiba vivyo hivyo tuwajibike
  8. A

  9. A

    Hatimaye Prof Mwandosya arejea Tanzania toka matibabu India

    Mpiganaji karudi, isipungue jitihada yako wala uwezo na nia yako, hatuna jeshi wala silaha, bali maombi yalo kuinua tena kwa mkono wa Mungu, yatawazimisha walo kinyume na haki kama wapo waliokua sababu ya matatizo yako.
  10. A

    Miaka takribani 50 ya Uhuru Tanzania: Ni yapi ya kujivunia?

    Bado sijakata tamaa na Tanzania yangu,bado naona sababu ya kulipa kodi, bado nina kilasababu ya kuipenda Tanzania. Kwani ingawa nina maumivu ya ugumu wa maisha zingalipo njia na mbinu mpya ya kulikomboa Taifa langu, nikianzia nami mwenyewe, kihistoria, tulikua na Ukoloni, ukafata Ukoloni mambo...
  11. A

    Amani yetu tz, imeshikwa na uvumilivu wetu watz, si serikali, wala chama, hata jeshi

    Ingawa nchi ina amani lakini kama utafanyika uchunguzi rahi, mioyoni mwa asilimia kubwa ya Watanzania hawana amani,
  12. A

    Amani yetu tz, imeshikwa na uvumilivu wetu watz, si serikali, wala chama, hata jeshi

    Kama ni sifa watanzania wanapaswa kusifiwa sana juu ya kudumu kwa amani tuliyo nayo, iko haja ya Jeshi, Serikali, Vyama, na Uongozi wowote upate kujua Amani iliyopo ni utashi na uvumilivu wa mtanzania, mifano iliyo hai imethibitisha ilo, kama vile yale yaliyotokea Libya, Misri na yanayo endelea...
  13. A

    Maendeleo tangu uhuru yapo, lkn je maendeleo baada ya miaka 20 tangu uhuru ni sawa?

    Tupate wapi watafiti watao leta matokea ya uchunguzi wa uharibifu katika yale tunayoita mapambano ya kimaendeleo, maana kwetu tafsiri ya maendeleo ni... Mtu Kuuza miguu au macho kwa wazungu, alafu pesa tununue suti walau tukisimama nao tulingane kimavazi,heti tumependeza hali tuvilema.
  14. A

    Maendeleo tangu uhuru yapo, lkn je maendeleo baada ya miaka 20 tangu uhuru ni sawa?

    Je! Vijana washangilie? Kwa maana nyingine maendeleo ya miaka 50, ni yale tu yaliyojengwa na Hayati Baba wa Taifa, toka pale, haya yanayoitwa maendeleo hata kama Watanzania wote tungeondoka Tanzania kwa miaka 30, tungerudi tukakuta yamesogea, tena pasipo hata uharibu ambao umefanyika sasa,
  15. A

    Maendeleo tangu uhuru yapo, lkn je maendeleo baada ya miaka 20 tangu uhuru ni sawa?

    Wazee wetu wana kila sababu ya kusherehekea maendelea ya tangu kupatikana kwa uhuru yani miaka 50 iliyopita, mfano ongezeko la miundo mbinu, nyenzo, mawasiliano, nk, lakini Tanzania inapaswa kutambua kizazi cha umri wa miaka 30, ambacho kimekua pakiwepo na utandawazi, kasi ya maendeleo inaweza...
Back
Top Bottom