Ikumbukwe kwamba walioko mlimani ni intellectuals,tusiwahukumu jamani kwa mambo tusiyoyajua,mimi naamini kwamba watu hawa wana akili timamu,hawawezi kugoma kwa mambo ya kipuuzi,ombi langu wadau naomba tuwape support.Watu wa UDSM,mimi niko pamoja nanyi katika kipindi hiki kigumu.