Recent content by 2c2

 1. 2c2

  Msaada tafadhali, Namna ya Kublock baadh ya Number za simu(Black listing)

  Nashkuru sana wadau kwa msaada wenu wa kitaalamu ntajaribu njia zote alafu ntatoa mrejesho wa njia gani imekuwa ya mafanikio kwangu.
 2. 2c2

  Msaada tafadhali, Namna ya Kublock baadh ya Number za simu(Black listing)

  Wadau naombeni mnisaidie kuna baadhi ya Number sitaki zikinipigia wala kuniandikia SMS zinipate natumia program gani,, niliambiwa kuwa watu wanaotumia samsung galax wanaweza fanya hii kitu ila imeniwia ngumu kwa kutumia NOKIA LUMIA 620 Msaada Please.
 3. 2c2

  Star times hawataki usome taarifa hii.

  Tanzania kama uijuavyo,watakula wapi wenye ofisi zao,
 4. 2c2

  2013: Ungependa CHADEMA wafanye nini zaidi?

  Wajitahidi kuwa wanazungumza lugha moja kuanzia viongozi hadi wanachama porojo za kugombea vyeo waache,
 5. 2c2

  UHURU 51: Baadhi ya yanayojiri uwanja wa Uhuru

  Nimekuwa nikifuatilia maadhimisho ya sikukuu ya Uhuru kupitia TV station na lengo langu kubwa ilikuwa kumsikiliza Rais wetu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania nikitegemea atatuambia kitu wananchi wake lakini ameishia kuwatambulisha wageni na wacheza ngoma wa Uganda na kutuambia kuwa speech...
 6. 2c2

  DTB-Diamond Trust Bank

  Ni kweli na mimi nimeskia wameitwa watu na watafanyia usahili branch ya mbangala siku ya jumatatu
 7. 2c2

  Nimetokewa na uvimbe kichwani naomba msaada

  Kwanza nianze kwa kuwapongeza wana Jamii forum kwa michango yenu mnayoitoa katika mada mbalimbali humu jamvini kwani imekuwa msaada kwa Watanzania wengi sana Mungu aendelee kuwabariki na awape akili ya kujua zaidi mambo. Naomba msaada kwenu madaktari na watu wenye utaalamu binafsi mlioupata kwa...
 8. 2c2

  Kikwete atunukiwa cheti!

  sizani kama ni donge ila Watanzania hawa ambao ni ma-great thinkers wanajaribu kufikiria mbali zaidi ambapo wajinga na wasio na upeo kama wewe hawawezi kufikiri, ulijaribu kujiuliza kwa nini Mwl hakuitwa Dkt na alibakia kuitwa Mwl. Mpaka wakati huu waleo japo ni marehemu.
 9. 2c2

  WAZIRI wa Viwanda, Biashara na Masoko, Dk. Aballah Kigoda awajia juu wanaodai viwanda vimekufa

  kweli hii ndo kasi zaidi ya kudanganya na kuwafanya watanzania kuendelea kuwa mapunguani kwa kuamini uongo, kama mchumi na akiwa na wataalamu waliobobea chini yake anasimama kuwadanganya watanzania kwamba viwanda vipo akitaja idadi kwa kukisia, uku wakati wanaendelea kutuambia vipo wanatuambia...
 10. 2c2

  Tpdc- ndo shortlist iyo au ndo .....

  Naomba tuitwe wote kwenye hiyo interview ndio utajua sasa kama ni baba yangu mdogo au mimi mbumbumbu au najua degree yangu ina nijenga kuwa nani
 11. 2c2

  Tpdc- ndo shortlist iyo au ndo .....

  Bado hawajahita Mkuu jana nilienda kuwauliza pale Benjamini towel sababu mimi mwenyewe kuna kazi moja ambayo niliomba na nina uhakika wakupata nikiitwa ntakuambia
 12. 2c2

  Msaada kwa anayejua nafasi za kazi nhif na tpdc watu wameitwa kazini?

  tafadhali mwenye taarifa kuhusu hizi nafasi zilizotangazwa miezi ya hapo nyuma naomba anihabarishe
 13. 2c2

  Sikiliza Bunge Live

  nimetafuta sehemu ya kugonga like nimekosa ila hii nimeipenda hapa napiga mzigo na Bunge na lipata utafikiri sipo mpanda vile siitaji antena bila chenga
 14. 2c2

  Laptops and Mobile phones for sale

  nina kama laki sita ivi za kitanzania napata ipi kati ya hizo ila napendelea hiyo hp
 15. 2c2

  Tutegemee nini kutoka kwa Waziri mpya wa Viwanda na Bishara Mh. Abdallah Kigoda?

  Sasa naanza kumuelewa japo pia sio vizuri sana kwani Mh. Mkuu wa Kaya alimuona anafaa kuwa mrithi wa Mh. Chami au ndo issue ya kuwaridhisha wananchi waone kunamabadiliko kumbe ni yale yale,,, alafu najiulizaaa mbona kamtaja Bw. Ikelleghe kawaacha wengine ambao pia walitajwa sana ikiwemo yule...
Top Bottom