Recent content by Saatatu

  1. Saatatu

    Shule ya Msingi Isanga (Meatu) ni mbovu, haina vyoo kwa miaka 2 sasa

    Nashukuru wamerekebisha, JF ni darasa.
  2. Saatatu

    Je, umewahi kufikisha goli 5 na kuendelea?

    Wewe mzembe tu, it's easy mbona. Ndani ya 3 hours hizo 5G goals nikawaida tu na ninaendelea na majukumu yangu.
  3. Saatatu

    Namna Watanzania wanavyotapeliwa na Waganga wa Kienyeji nchini Kongo

    He na wewe duh,ukamvumilia tu siku zote.
  4. Saatatu

    Serikali: Elimu ya msingi mwisho darasa la sita kuanzia 2027

    Dunia simama kidogo nishuke, si kwa masihara haya jamani. Elimu ndo majaribio?
  5. Saatatu

    Haya maisha bhana!!

    Mafanikio hayapimwi kwa GPA kubwa or less, Cha mno unayo connection ya hayo ma accounting and finance? 👉Ni afadhali jielekeze kwenye kilimo,start with what you have with what you can...... 🤗🤗🤗🤗
  6. Saatatu

    Africa beware! Male homosexual networks could result in genocide!

    Write your reply... It's in a danger zone the generation we're having considering homosexuality as a right. Lesbian and gay are in grave misfortune, even the nation is at risk.
  7. Saatatu

    Wewe ni Graduate? Pitia hapa

    Write your reply...nakubaliana na wewe. Fursa, muda, ujuzi na ubunifu ni nguzo za kujikwamua katika umasikini au ukosefu wa ajira rasmi.
  8. Saatatu

    Ndugu zetu wa Kagera kwanini mkoa wenu unaongoza kwa umasikini?

    Simiyu na Shinyanga nayo ni majanga tu.
  9. Saatatu

    Mafanikio ya Rais Magufuli 2015 - 2021

    CCM ndo kila kitu mdau.
  10. Saatatu

    Miswada mitatu(3) ya kujadili masuala ya madini na maliasili yafikishwa Bungeni kwa hati ya dharura

    Wamewaona si bora kujadiliwa kwa emergency maana hawana maslahi kama makinika. Ngoja muvi iendelee, CCM inawenyewe, waachie wenye ccm.
  11. Saatatu

    AZAKI Tanzania: Wasichana wanaopata ujauzito shuleni si wahalifu wanaostahili kukatishwa ndoto zao

    Katiba kaivunja, unataka afanyweje??? Afukuzwe tu, SERA NI ELIMU BURE, SIYO WAKE KUSOMA BURE.
  12. Saatatu

    AZAKI Tanzania: Wasichana wanaopata ujauzito shuleni si wahalifu wanaostahili kukatishwa ndoto zao

    Nahisi mtoa post hana watoto, na siku wakipata KOJO LA GANZI YA Ukweli hautatoa post mbovumbovu, Mzee kamaliza NGO zenu hizi mnataka shule zetu ziwe sarakasi za mapenzi na vituo vya kulelea wazazi? Mtoa post hajielewi kabisa, pamoja na kutoa takwimu zote hizo, akumbuke kuwa TANZANIA KUNA...
  13. Saatatu

    Jinsi bilionea wa IPTL-Tegeta Escrow alivyonaswa Airport akitaka "kutoroka"

    MKUU aliyemaliza muda alisema FEDHA HIZO SI ZA UMMA, mbona chokochoko tena kuhusu Nyoka wa makengeza??? Usiulize swali lililojibiwa na JK wa 2. Ila kivumbi hiki, sioni wa kuweka kifua chake mbele, yale yale tu kuendelea kutumia nguvu kubwa lakini mwisho wa siku utaambiwa WAMEHUKUMIWA MIAKA 4...
  14. Saatatu

    KIBITI: Mtendaji wa Kijiji na Mwenyekiti wa Kitongoji cha Mangwi wauawa kwa kupigwa risasi

    JAMANI TUIWEKE VIZURI SENTENSI, TUSEME "WAUAJI WA KIBITI SI MAJAMBAZI". Ukisema jambazi utakuwa umebadili taswira, na mjamaa kwa hasira ukitamka MAJAMBAZI yanajisemea moyoni "wanaotafutwa si sisi wauaji bali Majambazi wasaka pesa " Polisi badilisheni kauli, si kila tukio eti Jambazi...
Back
Top Bottom