Recent content by The Wolf

  1. The Wolf

    Nini kinatokea angani

    Sawa mkuu, tatizo kipindibcha mvua ninakunywa pombe ndani sijawahi kuona
  2. The Wolf

    Nini kinatokea angani

    Utakuwa umeshalewa, nimetuma picha bro
  3. The Wolf

    Nini kinatokea angani

    Sinywi k vant bro
  4. The Wolf

    Nini kinatokea angani

    Ha ha mkuu, nipo vizuri, kunywa haijawahi kuwa tatizo kwangu
  5. The Wolf

    Nini kinatokea angani

    Mliopo dar angalieni anga mda huu, kuna big round bell
  6. The Wolf

    Albert Chalamila atishia kumuweka ndani mkandarasi wa Mwendokasi

    Speed lazima ipungue, mvua hizi na ujenzi hauwezi kwenda kwa kasi
  7. The Wolf

    Mke anamnyima mumewe tendo la ndoa, nini kifanyike?

    Wanawake wa kichaga wana shida kwenye hii sector
  8. The Wolf

    Nahitaji ushauri wa haraka sana maana nahisi Nachanganyikiwa sasa

    Nakushauri kausha tuu, abaki na hizo talaka 2, kupata mtu muaminifu siku hizi ngumu sana, Mke wako anakupenda ndio maana anashiriki pamoja na wewe mambo ya kimaendeleo, na anajiweka dhamana kama hivyo usikwame
  9. The Wolf

    Alichokifanya Israel ni dharau dhidi ya Iran. Kuna haja ya kurudia tena mashambulizi kule Israeli

    Dharau gani sasa hapo, wewe kwa akili yako one on one, Israel anamuweza Iran? Hint moja tuu, Israel hamna anachoweza kufanya bila kumtumia US kama shield na financier, Iran akimchapa Israel, ujue kamchapa US, UK, Fr. na wengineo
  10. The Wolf

    Alichokifanya Israel ni dharau dhidi ya Iran. Kuna haja ya kurudia tena mashambulizi kule Israeli

    Kalindwa na nchi ngapi huyo Israel? Unaanzisha ugomvi unaenda kujificha nyuma ya mwenyekiti wa kikao chenu cha ukoo, na bado unapigwa makofi kama kumi, kisha unaenda kulalamika UN, Kumaamaae mna bahati, bila msaada wa US, UK, Fr, na Jordan israel wangekuwa wanakusanya vipande vya rofali mda huu...
  11. The Wolf

    LIVE UPDATES: Yanayojiri kwenye Mgogoro wa Iran na Israel

    Hivi mmesahau USA alipigwa na Iran makombora kwenye base yake pale Iraq na hajawahi kujua yalituaje na patriot ilikuwepo na hakufanya chochote japokuwa wanajeshi wake walikufa na wengi wana watatizo ya akili japokuwa walijifungia kwenye ma bunker. Tena kipindi cha trump, nae alipiga kimya kama...
  12. The Wolf

    Je, ni sahihi baba kuwanunulia binti zake nguo za ndani hata kama watoto hao wako sekondari na vyuo?

    Kuna miaka ya nyuma nilimpeleka mdogo wangu shopping alikuwa ndio anaingia form 1, tumezunguka kweli mwenge, tumefika duka flani ananunua shuka akaona na chupi bhana akaropoka kaka ninunulie na chupi sina za kutosha, daah niliona noma sana, mpaka waliokuwa wapo dukani wakageuka kutuangalia...
  13. The Wolf

    Nataka kuuza nyumba, viwanja, gari na vitu vyote vya ndani nirudi bara kuanza upya kutoka Zanzibar

    Hizo nyumba za milioni 15 chanika/tandika ni za udongo? nimeaoma story yako nkajua una akili, mwishoni nikatambua hata huko zanzibar haujajenga hii ni chai
  14. The Wolf

    Inawezekana vipi mtu kuweka roho yake kwenye mti?

    Tena katikati ya msitu wa mbali sana
Back
Top Bottom