Upepo wa Pesa
JF-Expert Member
- Aug 8, 2015
- 21,252
- 34,200
Sijui labda mimi ndio sielewi!
Serikali ndiye mwajiri mkuu wa walimu, na serikali haitoi ajira (ukiacha zile za kisiasa zilizo tangazwa juzi)
Bado najiuliza,
Umesoma arts na unakaa kwenye PC kujaza chuo kuomba kusoma ualimu.
Ni lazima mfike sehemu mjue suala sio uonekane umeenda chuo!
Ajira za uhakika kama ilivyo kuwa kipindi cha JK hakuna tokea 2015 lakini wewe uko busy ku apply education tena arts!!
Wenzako wako mtaani mwaka wa 5 huu na hawana ajira lakini wewe upo tu unajaza BA Education!!
Mbaya zaidi Magu aendelee mpaka 2025!!
Daah nakuonea huruma kweli kweli yani!!