Dondoo kuhusu ufadhili wa masomo nje ya Tanzania (Scholarship updates)

Msingi_Kiuno

Member
Feb 22, 2017
86
123
Wakuu habari ya muda,

Nimefungua uzi huu ili tuweze kupeana dondoo za jinsi ya kutafuta na hatimaye kupata ufadhili wa masomo nje ya Tanzania.

Tuweke matangazo ya nafasi za masomo kokote nje ya Tanzania, tupeane maelekezo na hatimaye wengi wetu tutoke na kwenda kujifunza dunia inaendaje upande mwingine wa Dunia.

Nitakuwa mstari wa mbele kutoa updates na maelekezo kadiri nitakavyoweza.

Karibuni sana!
 
Brunei darusalam hapo Shimoni Pesa ipo nchini mwao ila usitegemee vimwana wala Ulabu nchi Hio hawa import pombe aina yoyote wala kutengeneza POMBE huja nazo watalii wenye level ya juu financial
hata madem wakali sio wengi.... ha ha ha haaaa.... umenichekesha sana. pesa nzur sana wanatoa
 
35 Reactions
Reply
Back
Top Bottom