Am lonely male

una mtoto mmoja tu?????au wawili
mkeo mmeachana lini
kama ni mdogo sana ana miaka mingapi naogopa kuja pm maana mmmh
 
Mm sina mke my dear naishi na mwanangu wa 3yrs...njoo unisaidie kumlea km mama

unakumbuka ulisema kwamba unatafuta hausg na mmmh ngoja nitafute uzi wako
nikakwambia kazi ningefanya ila tatizo una mke teh teh teh ngoja niufukunyue uzi
 
Jamani why wajane ? Kwani hastahili kuwa na mwingine zaidi ya wajane? Ni dharau hii to me. Yaani kama vile hastahili kuwa na MTU mwingine isipokuwa wajane, na kwa nini wajane wanashushwa hadhi hivyo? Kwani na wao they don't deserve better?

Only I can say there is no formula when it comes to fall in love. What is matter is to have a true love,it doesn't matter if she/ he widow or widower . I can see these days MTU akiwa amezaa au ana age kubwa kidogo atasukumiziwa widow or widower .
Mleta mada usikate tamaa utapata wako Wa kufanana na wewe cha msingi ni true love awe mjane au sio mjane , I'm sure they are out there ,who are your heart desire . Jipe moyo kwa kuwa mke/ mume mwema hutoka kwa Mungu. Kila la heri. Thanks!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom