Kwa wote ambao wanahitaji kujua jinsi ya kuhack!

Khaa! Mbona sijaelewa...unataka kutoa ujuzi ama? But 4 real lets discuss...kwa nini watu wanapenda this idea of hacking? Nadhani kila mtu ana motivation yake..whats ur motivation? Kwa mimi nimejifunza hacking simply bse i like spying...napenda kusoma siri za watu,makampuni,serikali nk (sishauri uhack mpenzi wako, thats the last ting u wanna do,trust me sanasana kama una matatizo ya moyo)...na kama motivation zimetofautiana pia hacking types ziko tofauti pia...mfano unaweza fanya kitu mi naita "social hacking" yani simply through maongezi na mtu unaweza gundua password yake itakuwaje-simple! Wengine wanapenda kuhack website (me too!)..hii yataka ujuzi kidogo..kuna kitu kinaitwa "sql injection"..jinsi ya kuchungulia database ya web,kuobtain password ya admin na kuwa na full contral ya website..hii yataka basic understanding ya PHP + MYSQL (nashauri uanze na HTML kama huifahamu) ili uweze kuelewa nini kinafanyika...hapa ndipo watu wanakimbia,unapenda kuhack ila kusoma mvivu...teh..teh..t
 
One has to read ili kuwa hacker mzuri(sio kucopy na kupaste software za watu kama anavyofanya mzizimkavu)...unatakiwa kuelewa basic ya ujenzi wa nyumba ili kuelewa weakness then kubomoa kama unasukuma mlevi...mimi siko katika field ya IT ila nimeweza jifunza mwenyewe html,php(including mysgl) na sql injection na nainjoy kuchungulia(hack) website mjinga now and then! Just few hours a week (i suggest weekends) can get u somewhere! Kama ni mvivu wa kusoma na kujîfunza,nakushauri achana na hii kitu maana hutafika mbali....
 
Haya mwageni ujuzi.Msije mkabanwa mkaanza mfuatwe PM .......
 
One has to read ili kuwa hacker mzuri(sio kucopy na kupaste software za watu kama anavyofanya mzizimkavu)...unatakiwa kuelewa basic ya ujenzi wa nyumba ili kuelewa weakness then kubomoa kama unasukuma mlevi...mimi siko katika field ya IT ila nimeweza jifunza mwenyewe html,php(including mysgl) na sql injection na nainjoy kuchungulia(hack) website mjinga now and then! Just few hours a week (i suggest weekends) can get u somewhere! Kama ni mvivu wa kusoma na kujîfunza,nakushauri achana na hii kitu maana hutafika mbali....

La cosa mia nakubaliana sana nawewe kaka..sasa kwasisi ambao ndo tunajiandaa kujifunza haya mambo inakuwaje?..naomba muongozo wako mkuu..nimependa sana mawazo yako katika kila post na natumai unaweza kunisaidia niweze kujipanda namimi...mimi I just love hacking..huwa nashindwa kupata majibu jinsi gani niwe na password alafu mtu mwingine anihack..how is it possible??..sasa katika kujibu haya maswali ndo nataka kujua kuhack niweze kupata majibu ili niweze kujiprotect pia
 
Download ,Install na jifunze Http; //Backtrack na Nyenzo zake zote . Sidhani hata mleta kama anaijua . uKitumia bactrack utapata nyenzo si za kujua tu hakickg bali security ya wireless na tvuti. So badala ya kuwa muharibfu unaweza kuwa ethical hacker.

Hacking ni vitendo . Unaweza ukajiita hacker lakini ukashidwa hata kuhack unsecured system. So hawa mahacker itapendeza watuonyeshe mfano. Nini wanahack, wanatumia nyenzo gani , nk

Lakini Kwa wale wenye nia ya kujua na wanatak kuanza kujifunza waanzie hapa.
http://www.hackforums.

Zing ameeleza vyema...kila hacker ana uwezo wake,ndio maana kuna forums za kukutana kubadilishana ujuzi...mi bado mgeni kama nilivyoeleza...natumia sql injection kuhack na bado naisoma ili niwe deep! Mdau hapo juu nakuja na jibu lako pia nitakueleza mimi nilipitia njia gani mpaka kufika hapa...na nitatoa links za tutorials nilizojifunzia...hamna kubaniana mambo sio magumu kihivyo...
 
sawa mkuu, nazisubiri
 
Download ,Install na jifunze Http; //Backtrack na Nyenzo zake zote . Sidhani hata mleta kama anaijua . uKitumia bactrack utapata nyenzo si za kujua tu hakickg bali security ya wireless na tvuti. So badala ya kuwa muharibfu unaweza kuwa ethical hacker.

Hacking ni vitendo . Unaweza ukajiita hacker lakini ukashidwa hata kuhack unsecured system. So hawa mahacker itapendeza watuonyeshe mfano. Nini wanahack, wanatumia nyenzo gani , nk

Lakini Kwa wale wenye nia ya kujua na wanatak kuanza kujifunza waanzie hapa.
http://www.hackforums.

nashukuru sana kaka kwa mchango wako...nitaanza kuzipitia....itabidi nijipange kila weekend niwe na darasa maana katikati ya week niko tight mbaya
 
Download ,Install na jifunze Http; //Backtrack na Nyenzo zake zote . Sidhani hata mleta kama anaijua . uKitumia bactrack utapata nyenzo si za kujua tu hakickg bali security ya wireless na tvuti. So badala ya kuwa muharibfu unaweza kuwa ethical hacker.

Hacking ni vitendo . Unaweza ukajiita hacker lakini ukashidwa hata kuhack unsecured system. So hawa mahacker itapendeza watuonyeshe mfano. Nini wanahack, wanatumia nyenzo gani , nk

Lakini Kwa wale wenye nia ya kujua na wanatak kuanza kujifunza waanzie hapa.
http://www.hackforums.

hapa kwenye hackforum wana taka ufanye registration alafu nimeona kama wanatoza hela hivi.. kuhusu hii backtrack mpaka sasa nimeingia chaka..sijaelewa kabisa maana hii link uliyonipa imenipeleka kwenye Downloads na inaonyesha inatumia linux..naomba muongozo na ufafanuzi hapa mkuu ..
 
Sikumbuki kama resgitration ni lazima ku acess nondo zao sababu nilijiunga zamani kidogo .... lakini regsitration tu ......tena bure. Kama unataka kujifunza just register mazeee...... Hawatozi hela wanaotoza hela wazushi achana nao . Hata hapa JF si kuna watu wanataka mshiko kwa vitu wanavyopakua bure Kwenye torrent. So usishangae we achana nao....

Kuhusu Backtrack hiyo ni distro ya Linux imetegenezwa na wanaharakati wa mambo ya security/hacking . Hiyo OS ya backtrack ina nyenzo tayari kama Air-cracing, Airmong, etc za kukuwezess kujifnza hacking/security ya wireless na wbesite na computer syetems . Kama kweli unataka kuwa hacker sharti uwe na linux based OS so Kama una windows unaweza kuisntall OS mbili na Uzuri kama Ubuntu ilivyo ina boot pia kutoka kwenye CD

Kuna video kibao Youtube za kutumia hiyo backtrack kama hii

Au kama una net nzuri Full video tutoarial ukubwa wake ni 7 GB iko hapa kwenye torrent

kutumia hio hiyo backtrack hata nyenzo za SQL injection na nyinginezo utazipata na kujifunza kuzitumia.

Soma na hii kitabu

NB
Inapendeza zaidi kama una basic knowledge ya network na database . Utakusaidia kuelewa haraka. kama hujui maneno kama SSID,WEP WAP au SELECT STATEMENT yana maana gani kitu ambacho ungeelewa kwa siku moja itakuchukua wiki mbili au utasihndwa kujaribu hata kwenye network yako mwenyewe
 
Attachments

  • The Hackers Underground Handbook.pdf
    2.5 MB · Views: 939
Last edited by a moderator:
@skillseeker..kuna njia nyingi sana za kuhack..inabidi ufanye utafiti ili ujue wewe unapenda nini hasa..hakuna hacker wenye ujuzi wote...kuna wanaopenda kuhack emails,websites nk...pia kuna technics nyingi sana za kuhack...kwa mfano kuhack email ya mtu unaweza kufanya trial and error za possible passwords mtu anaweza kutumia mfano tarehe ya kuzaliwa,jina la mpenzi nk...pia unaweza kutumia njia inaitwa "Phishing" yani unamtumia mtu web page ya uongo labda ya facebook ila umeichakachua kiasi kwamba akiweka username na password yake zinatumwa kwako pasipo yeye kufahamu..kuhusu phishing kuna jamaa alishaweka hapa jukwaani labda nikupe link yake upitie CLICK HAPA au soma HII pia tumia google kupata tutorials zatakazokufaa maana mimi sifanyi hiyo kitu..

Mimi kwa sasa nafanya website hacking...kwa kifupi kuna napenetrate database(SQL) kwa kutumia weakness na errors zilizofanyika katika kuunda hiyo database (sql vulnerabilities)..nikishaingia kwenye database naweza kuobtain password ya admin na kuwa na full control ya web..pia naweza kusoma info nyingine labda majina ya wateja,passwords zao,yani kwa kifupi ina kuwa nimeiteka..tutorials za sql injections ziko nyingi sana online ila nikupe nilizotumia...CLICK hapa ili uelewe ni kitu gani hasa na pia fuatilia HAPA ila ili uelewe vizuri nakushauri uelewe kwanza creation ya database(SQL) unaweza jisomea kuhusu PHP na MYSQL ila inahitaji bidii mkuu...mimi nilitumia tutorials za w3school na ilinichukua kama 3weeks hivi kumaliza maana nina mambo yangu mengine ila nafanya kama hobby tu...ila kabla ya kuamua kujisomea php na mysql nakushauli anza kwa HTML ili uelewe msingi unaounda websites...mimi nilitumia HII VIDEO hii step ndio rahisi kuliko zingine na nashauri uanze hapa....Ila kama unahisi hutapata muda au unataka kuharakisha mambo unaweza kutumia hacking too kama alizoeleza jamaa hapo juu ila kwangu mimi sioni kama ni funny mimi napenda kufanya manualy ili kesho na kesho kutwa nibuni njia zangu mwenyewe...Kwa leo niishie hapo....
 
.
Mkuu are you sure unaweza kufanya hacking manually bila kutumia tool yeyote... Ebu tufafanulie tuongeze ujuzi .....

Manually sio rahisi sababu website nyingi password zinakuwa encypted na mdd5 hash. Na hiyo md5 has. Baada ya encrytion ya md5 kuonekana hacker wanaidecryp password nyingi juu ya md5 wakaongeza na security cryptography ya salt.

sasa wewe hata ukiweza kuacess manualy password kama hiiii inavyohfadhiwa kwenye database (d131dd02c5e6eec4 693d9a0698aff95c 2fcab58712467eab 4004583eb8fb7f89) Utajua ni nin bila tool yeyote.?????

Mkuu mi naona unaongelea theory ambazo hujajaribu bado wich is simple . I challenge you to prove.

Vile vile bila tool utajuaje jina la database kwenye back end na jina la table illloihifadhi majina ya user . May be kama wale wanafonya installtion ya script za Joomla, worprpress Vbulettin , mybb hawabadilishi prefix za table. Lakini kama kabadilisha kitu ambacho wengi wanafanya utajuaje table ya user inaitwaje bila nyenzo........

Au unajuje kuwa webiste hii inatumia database ya Oracle au Msqlserver au Mysql.

MKuu usiseme fundi mzuri wa gari ni yule ambaye hatumii spana . Utafugua nut kwa masaa sita wa mkono wakati ungeweza kufanya hivyo kwa dk, Unachotakiwa kujua ni spana gani inahiajika kufungua au kutest nini. Hapo ndio hacker anatakiwa kujua na kujifunza.

Hiyo njia za phising ni soft side of hacking na wala sio real hacking . Hiyo inaitwa social enginnering. Ni sawa sawa kumwambiai au kumrubuni mtu akupe password yake kijanja bila yeye kujua(Fake web page) alafu useme umehack. yes somehow umehack but not real hacking ....... . Au umtegeshee mtu keyloggoer kwenye mashine akiingiza password unakuja kuzisoma baadae ....... But hata hizo zote bado unahitaji tool kama ya keylogger na fake page...... sasa tool za fake page za FB au gmail ziko mtandaoni nyingi...........

Hacking halisi ni ya kuingia kwenye system halisi yenywe kwa mlango wa nyuma legaly/illegay (backddor) na kupata data.
 
Download ,Install na jifunze Http; //Backtrack na Nyenzo zake zote . Sidhani hata mleta kama anaijua . uKitumia bactrack utapata nyenzo si za kujua tu hakickg bali security ya wireless na tvuti. So badala ya kuwa muharibfu unaweza kuwa ethical hacker.

Hacking ni vitendo . Unaweza ukajiita hacker lakini ukashidwa hata kuhack unsecured system. So hawa mahacker itapendeza watuonyeshe mfano. Nini wanahack, wanatumia nyenzo gani , nk

Lakini Kwa wale wenye nia ya kujua na wanatak kuanza kujifunza waanzie hapa.
http://www.hackforums.

Jamani mi natumia simu,nadhani hi ni mpaka mtu uwe na compyuta..Nimejaribu kusoma na nimeona kuna mambo ya kufanya kwa compyuta.
 
Sikumbuki kama resgitration ni lazima ku acess nondo zao sababu nilijiunga zamani kidogo .... lakini regsitration tu ......tena bure. Kama unataka kujifunza just register mazeee...... Hawatozi hela wanaotoza hela wazushi achana nao . Hata hapa JF si kuna watu wanataka mshiko kwa vitu wanavyopakua bure Kwenye torrent. So usishangae we achana nao....

Kuhusu Backtrack hiyo ni distro ya Linux imetegenezwa na wanaharakati wa mambo ya security/hacking . Hiyo OS ya backtrack ina nyenzo tayari kama Air-cracing, Airmong, etc za kukuwezess kujifnza hacking/security ya wireless na wbesite na computer syetems . Kama kweli unataka kuwa hacker sharti uwe na linux based OS so Kama una windows unaweza kuisntall OS mbili na Uzuri kama Ubuntu ilivyo ina boot pia kutoka kwenye CD

Kuna video kibao Youtube za kutumia hiyo backtrack kama hii

Au kama una net nzuri Full video tutoarial ukubwa wake ni 7 GB ikohapa kwenye torrent

kutumia hio hiyo backtrack hata nyenzo za SQL injection na nyinginezo utazipata na kujifunza kuzitumia.

Soma na hii kitabu

NB
Inapendeza zaidi kama una basic knowledge ya network na database . Utakusaidia kuelewa haraka. kama hujui maneno kama SSID,WEP WAP au SELECT STATEMENT yana maana gani kitu ambacho ungeelewa kwa siku moja itakuchukua wiki mbili au utasihndwa kujaribu hata kwenye network yako mwenyewe

kaka nashukuru...ninareserved partition..so ntaweka ubuntu 11.04 hapo...lakini kama unavyoona jina langu..mimi ni bado ninaanza so nataka niweze kuelewa vizuri kabisa...so hiyo backtrack ni kama separate OS ya linux au ndo natakiwa niinstall kwenye linux as a software?..kama natakiwa niistall basi nahisi hata nikienda kwenye software managers ndani ya ubuntu ntaweza kuinyonya fasta tu
 
Last edited by a moderator:
Kaka/Dada Zing....ninakuhakikishia kuwa unaweza kufanya manually na nishafanya sana na nitaweka hapa linki ya websites nilizofanikiwa kufungua database zake ....ni kweli kuna wakati unahitaji tools aidha kuruka kikwazo fulani au kurahisisha mambo ila nashauri mtu anayeanza kujifunza aanze manually na simple websites....unapompa mtu tools bila basic trust me hata wiki mbili hafikishi atazitupilia huko na kusahau kabisa kuhusu haya mambo maana bila kuelewa basics hizo tools zinakuwa ngumu kutumia....Usijaribu kufanya kuwa haya mambo ni magumu sana ndugu yangu...mimi sina elimu yeyote ya IT ila nimeweza japo kidogo kufika mahali fulani na nina jaribu kueleza kwa njia rahisi zaidi kwa mtu anayeanza afanye nini....nishapitia huko....unauliza watu wanakupa malink na matools ili uhangaike nayo mpaka uchoke then ukate tamaa......jamaa hapo kashaanza kuhangaika kuinstall linux....teh teh teh....nina uhakika baada ya mwezi atakuwa kashasahau kama kuna kitu kinaitwa hacking.....hebu soma tu hicho kitabu ulichoweka hapo juu.....wanashauri mtu uanze na HTML...ambayo mimi nimeweka the simplest video tutorial ever na itachukua siku mbili tu kuelewa basics zote za HTML na kuzifanyia kazi....hiyo ni step ya kwanza.....mimi mwenyewe najua umuhimu wa LINUX kwa hacker ila sija_install maana sihitaji kwa sasa bado nafanya simple stuffs mkuu.....namshauri jamaa kama hajaanza kuinstall hiyo linux angalau basi agoogle introduction to hacking ili aelewe ni nini hasa na yeye anataka nini....asije akafakamia madude kumbe hata hana passion na hii kitu.....
 
Haya bwana Zing nakupa link ya web ambayo nimeshahack uone na uamini kuwa manually inawezekana...of coz hizo ni tables na niliingia kwenye members na nikacheck info zao kuanzia names,passwords,id nk ila sitaingia zaidi ila naonyesha tu hii kama demonstration kuwa inawezekana CLICK HAPA
 
Back
Top Bottom