Kuna mdada nimempa mimba alafu maisha yangu hayaeleweki. Nifanye nini?

Bata batani

JF-Expert Member
Nov 11, 2011
3,179
3,539
Wakuu kuna mdada Anadai ana mimba yangu mpaka sasa sijui nifanyeje maisha yangu yenyewe hayaeleweki sijui pakuanzia wala kumalizia.

Na binti naye hana mpango wa kuchomoa ushauri ndugu zangu sijui ni nini cha kufanya msaada kwenu wa kuishauri ni hatua zipi sahihi za kuchukua kuanzia hivi sasa.
 
kwani kuwa na mtoto kunategemea maisha, kama ni hivyo basi omba omba wasingekuwa wanazaa sasa hakuna kitu cha thamani duniani kwa binadamu kama mtoto na mzazi mengine yote ni bwebwe tu, mtu hata afanikiwe vipi kama hana mtoto utajiri wake huwa anaona ni bure kabisa halafu wewe unataka uue...
 
Iyamishe iweke kwa Dada yako si Bado yuko home anakula na kulala bure. Muda ukifika utakuwa umejipanga ruksa kujifungua...😁😁😁😁😁😁maana mimba si yako
 
5 Reactions
Reply
Back
Top Bottom