Fahamu njia tano za kuachana kwa amani bila kuumizana wala kugombana

Bata batani

JF-Expert Member
Nov 11, 2011
3,182
3,547
1. Njia ya kwanza ni kupeana likizo yaani hii ndio njia pekee kila mmoja kujitafakari lakini kipindi mkiwa likizo mara moja moja mnakuwa mkiwa wasiliana mpka inafika hatua mnapotezana taratibu

2. Njia ya pili ni kumfanya mpenzi wako awe your best friend yaani unatakiwa kuishi nae kama rafiki mpaka inafika hatua anazoea

3. Njia ya tatu ni kusafiri kwenda mbali na yeye iwe kikazi au kibiashara. Hii hali inapochukua muda mrefu taratibu mtaanza kusahauliana

4. Njia ya nne ni kusex nae mara kwa mara mpaka mwenyewe atakuchoka itafika hatua atakukinai atakuona huna issue tena

5. Njia ya tano mwambie una hisia una dalili za HIV

Kama kuna njia nyingine hebu tupia hapa
 
Kwa yalivyo mambo ya mahusiano, kuachana bila kuumizana inawezekana endapo tangu mwanzo wa mahusiano yenu hamjawahi kupendana...........

Unapoondokewa na umpendaye moyo unabaki na pengo.....ambalo huleta upweke na kuzaa maumivu na kihoro..........ingawa watu hutofautiana katika kukabiliana na hali hiyo........lakini maumivu hayaepukiki.......labda kama mlikuwa mnaishi mfano wa changudoa na mteja wake......
 
Ya tano huwa naitumia daily
Njia ya tano wala sio nzuri. Wapenzi wakiachana vizuri ni rahisi sana kuja kupasha kiporo huko mbeleni. Hivyo ukimwambia una HIV biashara ndio inakuwa imeisha.

Pia wanawake wengi hawawezi kukaa na tatizo moyoni, watawasimulia marafiki zao au majirani zenu. Hivyo unaweza kujiharibia hata kwa mpenzi mpya utakaempata.

Njia nzuri ni kama hamkai pamoja jaribu kujifanya uko bize na kazi, kata mawasiliano nae hata mwaka mzima. Atazoea na kujikuta anaanzisha mahusiano na mtu mwingine. Siku ukikutana nae ni rahisi kumwaga sera za uongo na unaweza kupasha kiporo kama kawa.
 
Linapokuja swala la kuachana au kuachana kuna mbinu mbalimbali za kuachana kutegemea aina ya mtu na staili ya aina Gani utatumia

Ila njia pekee na nzuli ya kuachana ni kupeana likizo ndefu ya miezi Sita au mwaka mzima baada ya mwaka kupita anza kujitathimini kipindi chote cha likizo je unataka kuendelea na mtu wako au hautaki kuendelea nae

Mwisho kabisa linapokuja swala kuachana kamwe usikubali kumuachana kwa ugomvi au kumchunia mpenzi wako au kumfanyia visa kwani huwezi jua mpz wako utakutana nae wapiii
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom