Hivi mkeo ukikutana naye njiani ukahisi anaenda kuchepuka unaweza ukamrudisha?

44mg44

JF-Expert Member
Jun 16, 2019
2,135
2,139
Siku ya jana mida ya saa saba mchana nilikuwa matembezini, nilipoamua nirudi nyumbani kwenye kona fulani hivi nikakutana na wife tukapeana salamu baadae akaendelea na mishe zake, ila moyo nikawa nafkiria kuwa ameenda kuliwa, lakini nilishindwa kumrudisha.

Nilipofika home nilisubiri takribani masaa manne ndio akarudi na alionesha dalili zote za kuliwa. Swali langu ni je, ningemrudisha tulipokutana? na ningetumia kigezo gani?

Karibuni.
 
Siku ya jana mida ya saa saba mchana nilikuwa matembezin,nilipoamua nirud nyumban kwenye kona furan iv nikakutana na wife tukapeana hai baadae akaendelea na mishe zake,ila moyo nkawa nafkiria kuwa ameenda kuliwa,lakn nilishindwa kumurudisha.

Nilipofka hom nilisubr takriban masaa manne ndo akarud na alionesha dalil zote za kuliwa!!! swali langu ni je ningemrudisha tulipokutana??? na ningetumia kigezo gan?? karibun
Pima oil

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Siku ya jana mida ya saa saba mchana nilikuwa matembezin,nilipoamua nirud nyumban kwenye kona furan iv nikakutana na wife tukapeana hai baadae akaendelea na mishe zake,ila moyo nkawa nafkiria kuwa ameenda kuliwa,lakn nilishindwa kumurudisha.

Nilipofka hom nilisubr takriban masaa manne ndo akarud na alionesha dalil zote za kuliwa!!! swali langu ni je ningemrudisha tulipokutana??? na ningetumia kigezo gan?? karibun
Kwani ulivyokutana nae alikwambia anaenda wap?
 
Siku ya jana mida ya saa saba mchana nilikuwa matembezin,nilipoamua nirud nyumban kwenye kona furan iv nikakutana na wife tukapeana hai baadae akaendelea na mishe zake,ila moyo nkawa nafkiria kuwa ameenda kuliwa,lakn nilishindwa kumurudisha.

Nilipofka hom nilisubr takriban masaa manne ndo akarud na alionesha dalil zote za kuliwa!!! swali langu ni je ningemrudisha tulipokutana??? na ningetumia kigezo gan?? karibun

Okay mkuu nitumie namba yake nitakusaidia kuyafanyia kazi haya yote uliouliza na majibu yake
 
Siku ya jana mida ya saa saba mchana nilikuwa matembezin,nilipoamua nirud nyumban kwenye kona furan iv nikakutana na wife tukapeana hai baadae akaendelea na mishe zake,ila moyo nkawa nafkiria kuwa ameenda kuliwa,lakn nilishindwa kumurudisha.

Nilipofka hom nilisubr takriban masaa manne ndo akarud na alionesha dalil zote za kuliwa!!! swali langu ni je ningemrudisha tulipokutana??? na ningetumia kigezo gan?? karibun
unamiaka mingapi?naona vijana siku hizi hamjui nini maana ya kuwa mume
 
Kama ulichokiandika ni kweli basi jua unacheza tu humo.
Kisa hik ni cha kwel kabisa!!Mkuu hata skumuuliza kuwa anaenda wap!!! si unajua kuwa ukimuuliza utaonekana kama unamfuatilia na kumchunguza chunguza,,, ila baada ya kuachana nae ndo akil akanijia kuwa ningemuuliza,lakn nilikuwa nshachelewa,na nilibak na hasira zangu tu!!
 
Kwa mtu unayemmiliki kihalali huko kumchunguza chunguza ndio inatakiwa sasa.

Na wenye ndoa zilizo na misingi watakushangaa sana wakisikia mkeo anaondoka nyumbani bila ridhaa yako halafu unakutana naye humuulizi wala nini zaidi ya kumpa hiyo unayosema sijui hi. LOL.

Jiangalieni kwa kweli.
 
Kitendo cha kuja kuomba ushauri jinsi ya kummudu mkeo kwa jambo ambalo una yakini kabisa kuwa keshalifanya ni dhahiri kuwa humo ndoani huna kauli.

Kama kweli ungekuwa unasimama kama mume kwenye ndoa yako ilipaswa ujue kila mzunguko wa mkeo, kitendo cha kukutana nae na usijue anakoelekea ukabaki na dhana tu, hiyo ni wazi kuwa anakuchukulia kama binti mwenzie. Mwanamke anaemuheshimu mumewe hasa asingekuwa na ujasiri wa kwenda kuukatikia baada ya kukutana na wewe. Lazima angegeuza na kurudi nyumbani. Kitendo cha kuendelea na safari yake alijua fika kuwa huna madhara.

Subiri siku akuletee mume mwenzio ndani kwenu kabisa, nahisi hapo utakuwa na ithibati tosha.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom