Eti huwezi kufikisha kiasi cha milioni 30 bila kijihusisha na uchawi/shiriki Tanzania

October man

JF-Expert Member
Nov 23, 2017
3,635
4,995
Niende kwenye mada

Leo mtaani kulikuwa na ubishi mkubwa, mimi nipo peke yangu, wenzangu kama 5.

Ipo hivi: Jamaa wanasema hapa Tanzania huwezi kumiliki/kufikisha 30M bila kujihusisha na ushirikina/ulozi, yaani kivyovyote vile ili kugusa hicho kiasi kwenda juu ni lazima uwe umejihusisha kivyovyote vile na shirki. Mie ukweli nilikuwa napinga sana.

Hii ipoje?

Mshana Jr

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sio kweli kabisa... Hiyo pesa ni ndogo mno.. Kwa baadhi ya wakurugenzi ni mshahara wa mwezi mmoja tuu
Niende kwenye mada

Leo mtaani kulikuwa na ubishi mkubwa mimi nipo pekeyangu wenzangu kama 5, ipo hivi jamaa anasema hapa Tanzania uwezi kumiliki/kufikisha 30M bila kujihusisha na ushirikina/ulonzi yaani kivyovyote vile ili kugusa hicho kihasi kwenda juu ni lazima uwe umejihusisha kivyovyote vile na shirki mie ukweli nikikuwa napinga sana.

Hii ipoje

Mshana Jr

Sent using Jamii Forums mobile app

Jr
 
Niende kwenye mada

Leo mtaani kulikuwa na ubishi mkubwa, mimi nipo peke yangu, wenzangu kama 5.

Ipo hivi: Jamaa wanasema hapa Tanzania huwezi kumiliki/kufikisha 30M bila kujihusisha na ushirikina/ulonzi, yaani kivyovyote vile ili kugusa hicho kiasi kwenda juu ni lazima uwe umejihusisha kivyovyote vile na shirki. Mie ukweli nilikuwa napinga sana.

Hii ipoje?

Mshana Jr

Sent using Jamii Forums mobile app
Kumbe! Angalau sasa nq tusioenda kwa waganga tunaweza kumiliki hadi 29,999,999/= hiyo inatosha. Nikijisikia kutafuta, natumia kidogo kwanza.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom