Mbunge Stephen Masele awasili Bungeni Dodoma kuitikia wito wa Spika Ndugai

Zurie

JF-Expert Member
Jul 6, 2014
1,745
4,277
55944319-ED26-4C20-B4E5-47354FBBCD76.jpeg


Mbunge wa Shinyanga Mjini (CCM) ambaye pia ni Makamu wa Kwanza wa Rais wa Bunge la Afrika (PAP), Stephen Masele amewasili Bungeni Dodoma, baada ya kuagizwa na Spika Job Ndugai kufika mbele ya Kamati ya Maadili, Haki na Madaraka ya Bunge, kujibu tuhuma zinazomkabili za utovu wa nidhamu
 
Hongera zake kwa kutii bila shuruti. Tudubiri tuhuma zake zianikwe tujue. Japo wengi tumefahamu na kumfuatikia baada ya tukio hili
 
Hivi kuna mtu au taasisi yeyote ambao wamesha mchunguza Ndugai kuona afya ya ndani ya fuvu iko sawa? Maana Kule Kongwa nasikia watu wameshastuka kuwa something upstairs not normal.

Hamshtuki tuu? Au siku akitangaza bungeni anamuita kwenye kamati mama Suluhu au Mzee mkubwa kabisa wa mabaka kamanda Mabeto ndio mtashtuka?

Mabeto anaweza kuja na platoon moja tuu na kurusha kichura mjengoni wote na heshima ikarudi
 
Ni hivi mahojiano na hiyo kamati yangeendeshwa live manake nasikia unaweza kuitwa kwenye hiyo kamati wakakuhoji na kwa hoja ukaishinda kamati lakini mwisho wake matokeo ya kamati yanatoka wanasema eti wamekukuta na hatia.
Prof Assad kwenye kamati aliwazidi Kila hoja mwisho wake siku eti wamemkuta na hatia ndio maana akawa anaomba mahojiano yake na kamati yawekwe wazi.
Hiyo kamati Sina imani nayo kabisa
 
Back
Top Bottom