Upepo wa Maalim Seif unavyotikisa nchi. Kule Zanzibar ni taharuki

KISHADA

JF-Expert Member
Oct 18, 2012
2,224
3,290
Huyo ndio maalim Seif. Kitendo cha kujiunga ACT tu kimeamsha nchi nzima. Kishindo chake kinatia kiwewe si kwa wasaliti wa CUF tu Bali hata watawala.

Mipango imefujika, tunaambiwa huko Zanzibar watawala wamefura wanaangalia kwa hadhari mno.

Walimsaidia Lipumba kimkakati na sasa umma ulivyoamka walau hizi siku mbili wanatafakari njia mbadala. Kuna taarifa za hujuma dhidi ya wanaomuunga mkono maalim.

Jana baada ya kushushwa bendera za CUF na kupachikwa za ACT baadhi ya maeneo polisi walitumwa kufuatilia na ikiwezekana kuwakamata watu lkn upepo haujatulia.

Taarifa zinaarifu polisi hawajui waanzie wapi maana hawana uhakika hao wanaofanya hivyo kwamba walijitolea wenyewe au ni Mali za CUF.
Kuna kutanzika. Maalim Seif kaamsha hisia za kizalendo Zanzibar . Watu wamehamasika.

Uchokozi wowote kwa watu Hawa sasa hivi unahitaji busara. Watawala Zanzibar hawafurahii hii hamasa inawatia hofu ya kutokea wasiyotarajia.
 
Zanzibar kuna mambo. Watu wanakunywa kahawa na kula haluwa kwa pamoja furaha tele. Wengine wanachinja mbuzi. Hayo yanawatia kiwewe watawala nini kinachofuata. Ni furaha tu.
 
Jana kulikuwa na dufu kwenye baadhi ya maeneo. Yote haya hayafurahishi watawala sijui kwa nini
 
Huyo ndio maalim Seif. Kitendo cha kujiunga ACT tu kimeamsha nchi nzima. Kishindo chake kinatia kiwewe si kwa wasaliti wa CUF tu Bali hata watawala.

Mipango imefujika, tunaambiwa huko Zanzibar watawala wamefura wanaangalia kwa hadhari mno.

Walimsaidia Lipumba kimkakati na sasa umma ulivyoamka walau hizi siku mbili wanatafakari njia mbadala. Kuna taarifa za hujuma dhidi ya wanaomuunga mkono maalim.

Jana baada ya kushushwa bendera za CUF na kupachikwa za ACT baadhi ya maeneo polisi walitumwa kufuatilia na ikiwezekana kuwakamata watu lkn upepo haujatulia.

Taarifa zinaarifu polisi hawajui waanzie wapi maana hawana uhakika hao wanaofanya hivyo kwamba walijitolea wenyewe au ni Mali za CUF.
Kuna kutanzika. Maalim Seif kaamsha hisia za kizalendo Zanzibar . Watu wamehamasika.

Uchokozi wowote kwa watu Hawa sasa hivi unahitaji busara. Watawala Zanzibar hawafurahii hii hamasa inawatia hofu ya kutokea wasiyotarajia.
CCM wanawachora tu. Nyie mnacheza ngoma yao bila hata kujua. Inasikitisha sana.
 
Kila Siku tunamwambia Jiwe wewe sio Mungu ni rais tu ,anafikiri kila anachokitaka yeye kitakuwa ,haya Mungu kakataa sasa .
 
Huyo ndio maalim Seif. Kitendo cha kujiunga ACT tu kimeamsha nchi nzima. Kishindo chake kinatia kiwewe si kwa wasaliti wa CUF tu Bali hata watawala.

Mipango imefujika, tunaambiwa huko Zanzibar watawala wamefura wanaangalia kwa hadhari mno.

Walimsaidia Lipumba kimkakati na sasa umma ulivyoamka walau hizi siku mbili wanatafakari njia mbadala. Kuna taarifa za hujuma dhidi ya wanaomuunga mkono maalim.

Jana baada ya kushushwa bendera za CUF na kupachikwa za ACT baadhi ya maeneo polisi walitumwa kufuatilia na ikiwezekana kuwakamata watu lkn upepo haujatulia.

Taarifa zinaarifu polisi hawajui waanzie wapi maana hawana uhakika hao wanaofanya hivyo kwamba walijitolea wenyewe au ni Mali za CUF.
Kuna kutanzika. Maalim Seif kaamsha hisia za kizalendo Zanzibar . Watu wamehamasika.

Uchokozi wowote kwa watu Hawa sasa hivi unahitaji busara. Watawala Zanzibar hawafurahii hii hamasa inawatia hofu ya kutokea wasiyotarajia.
milioni 300 zimeliwa na bado ni changamoto !
 
Ogopa sana watu wenye hasira
 
Back
Top Bottom