Je, ni kweli binadamu tunatumia asilimia 10 ya uwezo wa ubongo, na nini kitatokea kama tutatumia asilimia 100 ya uwezo huo?

Da'Vinci

JF-Expert Member
Dec 1, 2016
35,432
105,851
is (2).jpg

SALUTE COMRADES
Miaka mingi kumekua na nadharia inayosema kua binaadamu tunatumia asilimia 10% tu ya ubongo wetu katika mambo yote tunayofanya, gunduzi zote za kiteknolojia na kisayansi, kufikiria na kufanya maamuzi kwenye vitu vigumu na mambo kadhalika ni asilimia 10% tu ndio metumika!wengine wanasema Albert Enstein alitumia 13% ya ubongo wake. Kama kwa maendeleo yote haya tumetumia asilimia kumi imagine tukiweza tumia 100% ya akili zetu

Muvi mbalimbali kama LUCY aliyocheza mwigizaji scarlet Johnson ilizidi kupigilia msumali nadharia hii kwa kuonyesha jinsi ambavyo huyo bnti Lucy alivyokula madawa ambayo yalimfanya kuweza kua na uwezo wa kutumia akili yake kwa asilimia 100% ambapo alianza kuweza kusafiri katika muda kwa akili (Mind Time Travelling), aliweza kukontroo magari kwa akili,aliweza kutumia kioo cha gari kama computer, aliweza kujifunza kichina ndani ya sekundi na mengine meengiii. Pia muvi mbalimbali kama Limitless ya Bradley Cooper, Define your life, flight of the navigator na kadharika zimeelezea nadhalia hii ya 10% of Brain.

Inasemekana kua nadharia hii ilisambazwa na mwandishi wa habari aitwae Lowell Thomas kwa kutumia kitabu chake kiichoitwa How to win friends and influence peoples ambapo alimnukuu vibaya mwanasaikolojia William James ambapo aliwahi kusema “average person specifically develops only 10% percent of his/her latent ability” ambapo kiuhalisia James alikua amezungumzia “our latent mental energy” lakini pia inaonekana kua nadharia hii pia ilichagizwa pia kuenea na mtalamu wa ubongo (Neurosurgeon) Wilder Penfield ambapo aligundua silent cotex mnamo mwaka 1930’s ambapo alisema kua silent cotex haina kazi kwenye ubongo mpaka ishituliwe na na umeme lakini kiuhalisia hiyo sehemu siku hizi imegundulika kua inafanya kazi.

Wanasayansi wengi wanasema kua nadharia hii ni uongo! Bnaadamu wote tunatumi 100% ya ubongo wetu, vifaa vya kisasa kama brain scanning vinaonyesha ubongo wetu unafanya kazimuda wote kwa kupitia viungo vyote hata tukiwa tumepumzika zipo tafiti nyingi zimefanywa zinaonyesha kua binaadamu tunatumia 100% ya ubongo wetu.

Kwenu GreatThinker je mna maoni gani juu ya hili? Ni kweli tunatumia 10% kwa mnavyodhani na kama tunatumia 10% ya uwezo wa ubongo wetu nini kitatokea kama tutaweza kutumia 100% ya uwezo wa ubongo wetu??

Tchao..

~Da’Vinci..
 
Mada hii nimekua inspired kuiandika kutokana na swali aliloniuliza mkuu Alisina Is it possible to be clever than Leonardo da vinci?

Nipende kulijibu swali hili hapa hapa kwenye hii mada maana kiasi Fulani yanaendana!

Mkuu Alisina kiukweli it’s possible kua clever zaidi ya mwanasayansi Leonardo da vinci, kivipi? Kwanza kabisa binaadamu wote tumewekewa ubongo sawa, nikimaanisha kua kilakitu nilichonacho kwenye ubongo wangu basi nawewe unacho na mwanasayansi Leonardo da vinci alikua nacho. Sasa kwanini inaonekana da vinci alikua na akili kuuubwa kuliko wengine? Mkuu alisina kinachotutofautisha ni jinsi ubongo wetu tunavyoutumia katika kufikiria, pia vipaumbele vya matumizi ya ubongo wetu. Lakin kuuubwa zaidi tulilotofautiana na mwanasayansi da vinci ni kujaliwa karama/vipaji vingii katika uwezo wa hali ya juu, na hapo ndipo alipotupiga bao da vinci.(aliitumia akili yake vizuri pia alijaliwa karama nyiingi) leo hii mimi nawewe tunaweza kufuata nyendo za da vinci tukamfikia na kumpita mbali kabisa mfano Arristotle alimuona Plato ni mtu mwenye uwezo wa hali ya juu na kweli plato alikua na akili kuubwa sana ila mwanafunzi wake arristotle aliweka commitment hadi akamshinda mwalimu wake plato uwezo.

Mkuu alisina baadhi ya waandishi wamejaribu kuandika hint mbalimbali ambazo wanadhani kama mt akizifuata anaweza kua nafikra angalau kama za Da’Vinci, mmoja wapo ni Michael Gelb kaandika kitabu kinachoitwa Think like Leonardo Da’vinci

Lakini pia Da’vinci mwenyewe alijua siku moja watu watatamani wawe kama yeye alivyokua akifikiria hivyo basi aliacha kanuni zake saba zinazofahamika kama The Seven Da Vincian Plinciples ambazo alikua anazifuata ili kupanua uwezo wake wa kufikiria.. hizi hapa chini..

Curiosity: An insatiably curious approach to life and an unrelenting quest for continuous learning.

Demonstration: A strong commitment to test your knowledge through hands-on experience, persisting through struggles and failures and a willingness to learn from mistakes.

Sensation: A never ending refinement of all of our senses, (taste, touch, smell, hearing and vision), especially sight as a way to experience life at a deeper level.

Smoke: Becoming open to all possibilities. This refers to a willingness to embrace ambiguity, paradox and uncertainty. This is a deeply vulnerable place but it also opens and expands our minds beyond the limitations we place upon ourselves.

Art and Science: This is whole brain thinking that develops a balance between logic and imagination, science and art. This is a balance between the right sided, creative brain and the left sided, logical brain.

The Body: The development of fitness, health, grace and poise. Balancing the brain and the body and enhancing the bodies characteristics to allow it to grasp more skills. This included developing a level of ambidexterity.

Connection: Seeing and appreciating the underwoven interconnectedness of all things and phenomena. We call this today, “systems thinking.
 
Maisha tunayoishi kwa sasa ni man-made, hayana ubunifu wetu wenyewe. Akili zetu zimekuwa dormant zinategemea already made discoveries.

Wazungu pia ni wajanja sana, walituletea hii life mode ambayo inatufanya tusijishughulishe na gunduzi zetu bali tutegemee zao tuu.

Hii nadharia za 10% usage of brain sidhan km ni sahihi kwa sababu haiko specific ni ktk situation zipi mtu anakuwa katumia % kadhaa. Pia binadamu tumezaliwa na IQ tofauti tofauti kwa io wenye IQ kubwa lazima wawazidi wenye ndogo.
View attachment 1018243
SALUTE COMRADES
Miaka mingi kumekua na nadharia inayosema kua binaadamu tunatumia asilimia 10% tu ya ubongo wetu katika mambo yote tunayofanya, gunduzi zote za kiteknolojia na kisayansi, kufikiria na kufanya maamuzi kwenye vitu vigumu na mambo kadhalika ni asilimia 10% tu ndio metumika!wengine wanasema Albert Enstein alitumia 13% ya ubongo wake. Kama kwa maendeleo yote haya tumetumia asilimia kumi imagine tukiweza tumia 100% ya akili zetu

Muvi mbalimbali kama LUCY aliyocheza mwigizaji scarlet Johnson ilizidi kupigilia msumali nadharia hii kwa kuonyesha jinsi ambavyo huyo bnti Lucy alivyokula madawa ambayo yalimfanya kuweza kua na uwezo wa kutumia akili yake kwa asilimia 100% ambapo alianza kuweza kusafiri katika muda kwa akili (Mind Time Travelling), aliweza kukontroo magari kwa akili,aliweza kutumia kioo cha gari kama computer, aliweza kujifunza kichina ndani ya sekundi na mengine meengiii. Pia muvi mbalimbali kama Limitless ya Bradley Cooper, Define your life, flight of the navigator na kadharika zimeelezea nadhalia hii ya 10% of Brain.

Inasemekana kua nadharia hii ilisambazwa na mwandishi wa habari aitwae Lowell Thomas kwa kutumia kitabu chake kiichoitwa How to win friends and influence peoples ambapo alimnukuu vibaya mwanasaikolojia William James ambapo aliwahi kusema “average person specifically develops only 10% percent of his/her latent ability” ambapo kiuhalisia James alikua amezungumzia “our latent mental energy” lakini pia inaonekana kua nadharia hii pia ilichagizwa pia kuenea na mtalamu wa ubongo (Neurosurgeon) Wilder Penfield ambapo aligundua silent cotex mnamo mwaka 1930’s ambapo alisema kua silent cotex haina kazi kwenye ubongo mpaka ishituliwe na na umeme lakini kiuhalisia hiyo sehemu siku hizi imegundulika kua inafanya kazi.

Wanasayansi wengi wanasema kua nadharia hii ni uongo! Bnaadamu wote tunatumi 100% ya ubongo wetu, vifaa vya kisasa kama brain scanning vinaonyesha ubongo wetu unafanya kazimuda wote kwa kupitia viungo vyote hata tukiwa tumepumzika zipo tafiti nyingi zimefanywa zinaonyesha kua binaadamu tunatumia 100% ya ubongo wetu.

Kwenu GreatThinker je mna maoni gani juu ya hili? Ni kweli tunatumia 10% kwa mnavyodhani na kama tunatumia 10% ya uwezo wa ubongo wetu nini kitatokea kama tutaweza kutumia 100% ya uwezo wa ubongo wetu??

Tchao..

~Da’Vinci..
 
Mkuu Alisina
Shukrani kwa Maelezo kamanda Wangu.

Hapo kwa Free Will panachangamoto hata Thomas Aquinas Palikuwa na shughuli kweli kweli.

Sent using Jamii Forums mobile app
Ni kweli mkuu hapo kwenye suala la free will kulikua na changamoto mnoo japo wana falsafa na teolojia wa katoliki walijitahidi mno kuelezea hili suala kadri walivyofunuliwa na roho mtakatifu! Mkuu Thomas aquinas kajitahidi sana kuelezea kuna kitabu hiki hapa chini kinaitwa Aquinas' summa Theologiae kaelezea meengi mno kuhusu uumbaji, kusudi la mwanadamu, kristo, sakramenti, Mungu na mambo meeengi mnoo. bado niko ukurasa wa 10 nimekianza jana ijumaa mchana nadhani nikimaliza kukisoma hiki nitakua nauwezo mpana wa kukuelezea hili suala la free will.. Philosophical books vinahitaji utulivu wa akili na mwili ili kuelewa content!
ukipata muda ukitafute online
b6f9cd2c9350ced74304a177e7f72d2f.jpg
 
Maisha tunayoishi kwa sasa ni man-made, hayana ubunifu wetu wenyewe. Akili zetu zimekuwa dormant zinategemea already made discoveries
Lakini mkuu kwa era ya kizazi chetu na kijacho hakuna njia nyingine ya kukwepa hizo arleady made discovery maana tunatembelea misingi ya wanasayansi waliopita sisi tunafanya maboresho tu!!
Wazungu pia ni wajanja sana, walituletea hii life mode ambayo inatufanya tusijishughulishe na gunduzi zetu bali tutegemee zao tuu
Mkuu baada ya kugundua hili umechukua maamuzi gani??
Hii nadharia za 10% usage of brain sidhan km ni sahihi kwa sababu haiko specific ni ktk situation zipi mtu anakuwa katumia % kadhaa. Pia binadamu tumezaliwa na IQ tofauti tofauti kwa io wenye IQ kubwa lazima wawazidi wenye ndogo.
suala la IQ pia sidhani kama ni applicable limekaa kinadharia sana
 
Lakini mkuu kwa era ya kizazi chetu na kijacho hakuna njia nyingine ya kukwepa hizo arleady made discovery maana tunatembelea misingi ya wanasayansi waliopita sisi tunafanya maboresho tu!!Mkuu baada ya kugundua hili umechukua maamuzi gani??suala la IQ pia sidhani kama ni applicable limekaa kinadharia sana
Ndio hapo utata unapokuja sasa. Era tuliyonayo imerelax sana. Tupo ktk comfort zone ambayo mwisho wake sio mzuri.

Mzungu na race kadhaa za dunia hii ndio pekee waliobaki wanaishi ktk reality kwa kias kikubwa. Wanashughulisha bongo zao kuzidi kugundua vitu vipya kila siku. They are producers.

Waafrika kwa asilimia kubwa tupo vifungoni. We are living just for surviving. Na hata mm na ww ambao tuna think out of the box tukisema tutoke out of this zone itahitajika nguvu ya ziada sabab tupo kifungoni.

IQ ni kweli tumetofautiana. Ndio mana hata darasani huwa hatupati maksi sawa wote.
 
Kiukweli ni ngumu sana kufanikiwa kutoka maaana mifumo yote kielimu kisiasa na kijamii intufanya tusiweze kujinasua.. Serikali zetu zachangia pia

Sent from my GT-I9300 using Tapatalk
 
Toba!! Mi bado mambo hayajakaa sawa labda natumia 0.001.. bado sijaelewa hapa kwamba ni asilimia kumi tu ndo ubongo zetu zimefikia hapo sasa hao wenye hizo 10% wamewezaje kugundua kuwa kuna asilimia 100 wakati uwezo wetu mpaka sasa ni 10%,huwezi kugundua asilimia ambazo hujazifikia au alasivyo hizo 10% ndo 100%.
 
View attachment 1018243
SALUTE COMRADES
Miaka mingi kumekua na nadharia inayosema kua binaadamu tunatumia asilimia 10% tu ya ubongo wetu katika mambo yote tunayofanya, gunduzi zote za kiteknolojia na kisayansi, kufikiria na kufanya maamuzi kwenye vitu vigumu na mambo kadhalika ni asilimia 10% tu ndio metumika!wengine wanasema Albert Enstein alitumia 13% ya ubongo wake. Kama kwa maendeleo yote haya tumetumia asilimia kumi imagine tukiweza tumia 100% ya akili zetu

Muvi mbalimbali kama LUCY aliyocheza mwigizaji scarlet Johnson ilizidi kupigilia msumali nadharia hii kwa kuonyesha jinsi ambavyo huyo bnti Lucy alivyokula madawa ambayo yalimfanya kuweza kua na uwezo wa kutumia akili yake kwa asilimia 100% ambapo alianza kuweza kusafiri katika muda kwa akili (Mind Time Travelling), aliweza kukontroo magari kwa akili,aliweza kutumia kioo cha gari kama computer, aliweza kujifunza kichina ndani ya sekundi na mengine meengiii. Pia muvi mbalimbali kama Limitless ya Bradley Cooper, Define your life, flight of the navigator na kadharika zimeelezea nadhalia hii ya 10% of Brain.

Inasemekana kua nadharia hii ilisambazwa na mwandishi wa habari aitwae Lowell Thomas kwa kutumia kitabu chake kiichoitwa How to win friends and influence peoples ambapo alimnukuu vibaya mwanasaikolojia William James ambapo aliwahi kusema “average person specifically develops only 10% percent of his/her latent ability” ambapo kiuhalisia James alikua amezungumzia “our latent mental energy” lakini pia inaonekana kua nadharia hii pia ilichagizwa pia kuenea na mtalamu wa ubongo (Neurosurgeon) Wilder Penfield ambapo aligundua silent cotex mnamo mwaka 1930’s ambapo alisema kua silent cotex haina kazi kwenye ubongo mpaka ishituliwe na na umeme lakini kiuhalisia hiyo sehemu siku hizi imegundulika kua inafanya kazi.

Wanasayansi wengi wanasema kua nadharia hii ni uongo! Bnaadamu wote tunatumi 100% ya ubongo wetu, vifaa vya kisasa kama brain scanning vinaonyesha ubongo wetu unafanya kazimuda wote kwa kupitia viungo vyote hata tukiwa tumepumzika zipo tafiti nyingi zimefanywa zinaonyesha kua binaadamu tunatumia 100% ya ubongo wetu.

Kwenu GreatThinker je mna maoni gani juu ya hili? Ni kweli tunatumia 10% kwa mnavyodhani na kama tunatumia 10% ya uwezo wa ubongo wetu nini kitatokea kama tutaweza kutumia 100% ya uwezo wa ubongo wetu??

Tchao..

~Da’Vinci..
True
 
Hio sio kweli.
Binadamu tunatumia 100% ya ubongo wetu.
The moment utakapotumia hata 90% inamaanisha umekufa. Kwa sababu kila part ya brain iko specialized kufanya kazi flani ndio maana mtu anakuwa hai kwahio brain yote inapiga kwazi wa ukamilifu wake..

Lets say asilimia 10 za brain ziache kufanya kazi kama ndani ya hizo 10% kuna center inayohusikika na upumuaji basi mtu ataacha kupumua na kufa..

Mkuu logic ni kua sio kwamba tunatumia asilimia 10 ya ubongo hafu sehem nyingine inabsks no!! Ni kua eti tunatumia 10% ya uwezo wa ubongo (Brain Capacity
Ila hili suala ni tata kidogho
 
32 Reactions
Reply
Back
Top Bottom