YEHODAYA
JF-Expert Member
- Aug 9, 2015
- 36,909
- 51,904
Niko naangalia uzinduzi wa Channel ya Utalii TBC Live Timu ya ufundi ni wabovu mno na mtangazaji pekee aliyeni impress walau kuonyesha vivutio ni wa mbuga ya mikumi tu hao wengine wa ngorongoro na Zanzibar bure kabisa.
Wa Zanzibar hakuonyesha vivutio wa ngorongoro kaishia kuonyesha Ngoma za utamaduni .Hilo la vivutio ndio lilikuwa lenyewe sio mahojiano .TBC hamkujipanga.
Ikitakiwa mtangazaji akitangaza direct vivutio vinaonyeshwa kwa Kasi kwa nini msingeshirikiana Na bodi ya Utalii walau wawape Clip mkaunga Na watangazaji wakisema hivi ndio vivutio vinaanza kuonyeshwa.
TBC tafuteni au azimeni watangazaji toka bodi ya Utalii au ajirini wazoefu toka private sector Na mtafute mafundi mitambo wengine vijana wazoefu hao waliopo ni crap.
Hata quality ya picha very poor nyeusi nyingi wakati ni mchana kweupe.Board Na management replay hizo video za tukio mfanye self assessment wenyewe you were too low kwa event kubwa kama hiyo