Kwa wale waigizaji, watunzi wa story, directors wa movie...pitia hapa please

max 255

Member
Jul 18, 2018
24
19
Habari zenu wakuu, hope mko poa .

Ebwana straight to the point, Mimi ni aspiring filmmaker (director) . Na kwa muda sasa nmekua nafanya research juu ya hizi movie zetu #bongomovie na kuangalia makosa na wapi panaitaj maboresho.

Kwa kweli nmeona mengi, na pia nimejifunza mengi...kuanzia maswala ya story zenyewe, main characters, actors, mpaka locations, visual effects, special effects etc

I know a lot & I believe naweza kuapply nlichojifunza ili kuleta ktu cha utofauti kidogo na most important kuboresha our movie industry.

I have plans kuanza na short films, before making features (full movies) ili kuweza kupata experience na uwanja wa kupractice vya kutosha maana I plan to go international ( kina mond kwa muziki wameweza, time for movies)

Najua changamoto ni nyingi sana, lkn hapo ndipo pia fursa zilipo, hivyo ukizikimbia au kutafuta shortcut... Huwez kupga hatua ambazo ungeweza zifikia kama ungejicommit into doing it , for real.

Ni ukwel usiopingika kwamba kutengeneza movie sio kaz ya mtu mmoja au wawili, ni collaborative work inayoitaj watu wengi na kila mtu kuplay role yake effectively... Ndipo tunaweza toa kitu kizuri.


Kwa kua Mimi ndo naingia rasmi ktk game, naamin wapo wadau wa kutosha, wale wenye uzoefu na wale km Mimi wanaowish kufanya ktu lakin wanasita sita au wanakosa chance ...well this is the chance.

KAMA WEWE ni au unapenda kuwa MUIGIZAJI (Actor/actress), Mtunzi wa story (STORY WRITER), DIRECTOR, EDITOR, CINEMATOGRAPHER, Vfx ARTIST , MAKE UP ARTIST, DESIGNER ... Naomba tuyajenge

Nna projects ambazo naiman tunaweza kuzifanya tukikaa chini na kuunganisha nguvu zetu na ujuzi wetu pamoja...na kuleta mabadiliko...

NICHEKI PM au WHATSAPP (0713626525)

Na tunaweza unda group la WhatsApp!!

LAKINI PIA kama WEWE ni mdau tayari ndani ya industry, na kuna watu unawafaham ambao tunaweza shirikiana pamoja usisite kuniambia ...nijue how I can connect with them...

#safari ndo imeanza hivi

AHSANTENI SANA ....

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom