Hizi hapa sababu za kisayansi zinazopelekea wengi wanaoanguka bafuni/chooni kupata stroke/kufa

reyzzap

JF-Expert Member
Oct 3, 2014
6,661
20,995
NIMEONA UZI UNAELEZEA HILI JAMBO KIIMANI, MIMI NITAJITAHIDI KUELEZEA KISAYANSI.

Kwanza ujue tatizo limetokea chooni au bafun?

1. BAFUNI
Hapa tunaangalia yule aliyeenda kuoga. Kwanza unatakiwa ujue mtu mwenye shinikizo la damu hashauriwi kabisa kuoga maji ya baridi hasa asubuhi na kama atafanya hvyo basi kuna taratbu za kufuata ili kidogo aepuke tatizo.

Anza kwa kujimwagia maji sehemu kama miguuni mikononi na kupanda juu taratibu. Hii ni kwa ajil ya kuufanya mwili uanze kuadapt new temperature taratibu na hatimaye ubongo utoe taarifa mwili u regulate whole body temperature kulingana na iliyokuwa induced.

Utakapoanza kwa kujimwagia maji ya baridi haraka unaulazmisha mwili u adapt new temperature haraka sana hivyo process inayoitwa chilling kwa kimombo itafanyika. Yaani mwili utasisimka ghafla na kufanya contraction and relaxation of blood vessels haraka. Hii contraction and relaxation husababisha either damu ishindwe kusafiri endapo ni contraction au kama ni relaxation basi isafirishwe nyingi upande mmoja kuzidi uwezo wa mishpa ya damu hivyo kusababisha mishipa ya damu kupasuka hivyo upande mmoja either kwenye ubongo au moyo kukosa damu.

Hii itasababisha jambo moja kati ya haya:

STROKE
Hii hutokea pale ambapo kuna upungufu/hamna damu kwenye ubongo hivyo kupelekea ubongo kukosa oxygen na glucose ili uendelee kufanya kazi vizuri. Kama tatizo lilikuwa dogo na baada ya muda ukarudi katika hali ya kawaida basi hiyo wanaita Complete Stroke ila kama ndo moja kwa moja hio wanaita Incomplete means sio ya kupita ambayo inaweza ikaleta kifo sasa.

HEART ATTACK
Hii hutokea pale ambapo damu haifiki kwenye moyo vizuri/kabsa hivyo moyo kukosa oxygen. Maelezo mengine yote ya Heart attack ni kama hayo hapo juu.

2. CHOONI
Hii hutokea hasa pale mtu anapoenda kutoa haja kubwa. Bado tunarud kule kule kwenye contraction and relaxation of blood vessels ambapo vyote kati ya hvyo husababisha either HEART ATTACK au STROKE.

Unashauriwa kuepuka sana choo kigumu(constipation) hasa kama una shinikizo la damu. Jinsi unavyojibana kutoa haja kubwa unabana mpaka mishipa ya damu hivyo kupelekea sehemu moja kati ya kwenye ubongo au moyo kukosa damu(oxygen) kwa muda.

Hii ni contraction huleta Low Blood Pressure na unapotoa kinyesi ile mishipa hufunguka haraka(relaxation) hii huleta High Blood Pressure. Vyote hivi huweza kusababisha either HEART ATTACK au STROKE kutokana na sehemu ambayo imeathirika.

Mwisho kbsa ila hii n kwa mtizamo wangu, mabafu/vyoo ving hasa vya ndani vipo isolated sana, kwanza n vdg, mda wote vimefungwa, madirisha n mdg sana na mda mwing yamefungwa kbsa hvyo mzunguko wa oxyen n mdg sana na wa carbondioxide ndo unakua mkubwa sana. Kwa lunga nyingne n kwamb unapoingia choon jua unaingia sehemu yenye oxygen kdg kbsa (ambayo ndo chanzo cha stroke au heart attack) vs carbondioxide nying kbsa(wote tunajua carbondioxide nying huzalishwa chooni)ambayo ndo mpinzan mkubwa wa oxygen hii n hatari sana hasa kwa mwenye BP, Tuwe makin zaid ktk ujenzi na matumiz ya vyoo vyetu

Kwa ufupi nijuavyo ni hvyo, kama una swali waweza uliza kama nina uwezo wa kulijibu nitakujibu.
 
yaan kuna familia nilipanga nayo nyumba moja mpk nikawa naishangaa,kuanzia mama yao mpk watoto wakienda chooni ucku hawafungi mlango wakijua kuna mtu anakuja wanajificha mpaka nahama nilikuwa najiuliza wanaogopa kitu gani chooni .Mimi kama kuna kipindi nasikiliza kwenye redio siwezi katisha kisa naenda bafuni au chooni naoga/jisaidia huku nasikiliza kipindi.
 
Back
Top Bottom