Kutokana na yanayoendelea makazini nafikiria kumwachisha kazi mke wangu. Sina amani

Sodoku

JF-Expert Member
Feb 3, 2016
1,095
2,429
hili suala nimekuwa nikilifikiria sana., kwa muda mrefu sana. nmekuwa nikisoma watu mbalimbali wakizungumzia vis ana mikasa ya maofisini. najikuta kukweli wakati mwingine nawaza maybe wife asiwe anafanya kazi.abaki tu nyumbani kucheck familia n.k

nimekuwa nikimsoma jamaa mmoja anaitwa GuDume huyu jamaa nilikuwa namchukia sana mwanzoni.lakini baadaye nilijifunza kitu toka kwake.katika mambo negative anayooandika kuna positive pia. sina chuki naye kwa sasa nimejifunza kum mwangalia kwa ukaribu mke wangu na pia kuc hange kuendana na mazingira. kuna post moja alizungumzia ule usemi wa ukimchekea mke huzai naye... binafsi nimekuwa mpole sana kwa mke wangu hata tunaposex. nilianza kuwa nachange na siku nimechange mapigo alifurahi sana na badaye aliniuliza nimepatwa na nini?au nilikunywa viagra? nlifurahi mchana akizungumza na mwenzie kuwa amechoka ile mbaya maana baba xxxx amempa kipigo cha mbwa mwizi.

kiukweli kabla nilikuwa namwona jamaa na mhuni,malaya tu.ila kuna mambo mazuri yamo kwenye threads zake.tujifunze. tatizo linabaki tabia yake ya kula wake za watu.. hapo ndo naona tutashikana mashati. huko makazini na ninatamani kujua anafanya kazi wapi. isije ikawa anakula wake zetu.ingawa pia vituko ambavyo anavisema vipo nami nimewahi kushuhudia kwa mfanyakazi mwenzangu. sasa nawaza je nimwachishe kazi wife? awe anafanya tu biashara ambayo haimlazimu sana kuwa mbali? sipendi watu wahuni wahuni kama akina gudume kuzengea wake zetu sisi wastaarabu.
 
MKUU,

HAKUNA PENYE USALAMA.

TUFANYE DUA NA MAOMBI TU
ND'O KILICHOBAKI.
 
Ni kweli wake za watu wanaliwa sana makazini, Nakumbuka Kuna wakati tulikuwa tumepanga office kwny moja ya hotel kubwa pale katikati ya jiji. Nilikuwa nashuhudia wake za watu wanavomegwa especially mida ya asubuhi na mda wa lunch, hali inatisha sana.

Lakini mkuu kwani mkeo akimegwa bila Ww kujua Kuna shida gani? Ile papuchi ni km mpira wa manati, inapanuka na kusinyaa kutokana na machine ya mhusika, usihofu km Ww hakunyimi haki yako ya msingi.

Mwanamke kumegwa haizuilili hata kidogo.

Unaweza kumuacha nyumbani bado akamegwa hata na house girl au na muuza genge!
 
mwanamke halindwi......amini ni wako peke yako......mengine mwachie ngoswe..
 
hapana dada..usinizibie riziki. mimi sijaoa na sina watoto na wala sina heshima,sijiheshimu mi nakula tu mabint wanaozagaa zagaa huku na kule. na pia nawasaidia wanaume wavivu na wasiowajali wake zao. mitaani na maofisini.

nasisitiza GUDUME,SI BABA WA HESHIMA, HAJAO NA HANA WATOTO... wadau myapuuze maneno haya ya kuwa mimi ni baba wa heshima.huo ni uongo,uzandiki na uchafuzi kwangu.

Mwanamke kama hajiheshimu hata ukimwachisha kazi ndo atakuwa analiwa na bodaboda na mafundi ujenzi,
GuDume ni vidole vinaandika tu ila ni baba wa heshima mwenye mke na watoto;
 
hapana dada..usinizibie riziki. mimi sijaoa na sina watoto na wala sina heshima,sijiheshimu mi nakula tu mabint wanaozagaa zagaa huku na kule. na pia nawasaidia wanaume wavivu na wasiowajali wake zao. mitaani na maofisini.

nasisitiza GUDUME,SI BABA WA HESHIMA, HAJAO NA HANA WATOTO... wadau myapuuze maneno haya ya kuwa mimi ni baba wa heshima.huo ni uongo,uzandiki na uchafuzi kwangu.
Duu we jamaa wewe, tubu bhanaaa Kumbuka maneno huumba, kule pwani tuna msemo wa "mla vya watu nae huliwa..."
 
Back
Top Bottom