Fursa adimu ni buree kutoka kwa mwanajamiiforums mwenzetu Cumins

D Metakelfin

JF-Expert Member
Mar 23, 2017
3,160
3,259
Awali ya yote sikutegemea kama kuna watu wana roho nzuri kiasi hiki
Member huyu amejitolea eneo zaidi ya heka 10 huko magonza tena bure kwa ajili ya watu kulima hvyo basi naomba tuungane vijana 7 wachapakazi tuingie mzigoni kilimo kinalipa ambaye yupo tayari aje pm
Tukachape kazi
Cc cumins
cc09644e68cbf4aa1d5128790d50bef1.jpg
cc2cfee9273e8acc35a2ad588a0f4075.jpg
3bbdbe0141994ca740c760c6f2068dc0.jpg
7ca386101583e97d14665e311c9080f4.jpg

Tujikusanye tuingie mzigoni
---------------------------------------
Zimebaki nafasi tano
---------------------------------------
Zimebaki tatu

mazao yaliyoko kwenye mpango
*******Mpunga
*******Matango
fursa ya kutoka kimaisha
Ushauri wa wadau ni muhimu
 
Dar [quote uid=30674 name="kalagabaho" post=25200302]Magoza ni wapi mkuu
Ukifika chanika mwisho, pana barabara ya lami inaelekea mvuti,
Hapo mvuti kuna njia panda moja inaelekea mbagala ambayo ni ya kushoto, njia ya kulia inaelekea magoza[/QUOTE]
nimekucheki pm mkuu
 
Kk mm nipo teyari kwenye iyo fursa ya kilimo no zangu za simu izo naomba 0759118523 niwe mmoja wenu
 
Back
Top Bottom