Ushauri: Anataka kuzaa na mimi hali ya kuwa ana mke

Bacyclerbacy

JF-Expert Member
Sep 6, 2016
1,743
3,017
Habari zenu wapendwa,

Mwaka miaka 2 iliyopita nilikutana nilikuwa na mahusiano na mkaka x, nilikuwa nae kwa miezi nane bila kugundua tofaut yoyote. Siku ya siku nakuja kugundua Yule mkaka alikuwa ana mke wa ndoa kabisa, aisee niliishiwa pozi.

Nilimlaumu sana kwasababu huwa sipendi kuwa na mahusiano ya kimapenzi na mume wa mtu. Nilianza kumpotezea taratibu japo nilimuelewa lakini jamaa hakutaka iwe hivyo.

Nilichogundua ni kwamba hawajawahi kuwa na mtoto(hawana mtoto)na tatizo lipo kwa mkewe hvyo nia yake sasa anataka nizae nae na yupo tayari kwa lolote
Nikijiangalia mimi hali yangu hohehahe sina kazi wala bazi alafu tena nikabebe mimba kweli huyo baba si atachoka kulea lakini jamaa hataki kunielewa yeye anataka nishike mimba mmh.

Nikamwambia basi dini yetu inaruhusu kuoa mke zaidi ya mmoja nioe tu hata kimya kimya alafu tufanye hcho utakacho kagoma, kasema anataka kwanza ahakikishe kama imekubali alafu mengine yatajulikana mbele, naona dalili ya kuwa single mom tena kwa kujitakia huku ila namuelewa mjamaa kinoma
nimebaki dilema sijui hata nifanyaje nikiangalia wanaume ni wachache wanawake tumejazana rundo ndo nazidi kuchoka.
 
Usicheze na ub.oo uliochanganyikana na hela hata kama ni ya matumizi madogo madogo tu. We panua tuu akiingiza panua zaidi, akikwambia ooooh (jina lako................) nakojoaaaaa, mwambie kojolea tu humohumo ndani- utabeba mimba mtailea utazaa na maisha yanaendelea. Kumma tamu sana mweeeh!!
 
Habar zenu wapendwa.
Mwaka miaka 2 iliyopita nilikutana nilikuwa na mahusiano na mkaka x,nilikuwa nae kwa miez nane bila kugundua tofaut yoyote
Siku ya siku nakuja kugundua Yule mkaka alikuwa ana mke wa ndoa kabisaaa,Aisee Niliishiwa poziNilimlaumu sana kwasababu huwa cpendi kuwa na mahusiano ya kimapenzi na mume wa mtu
Nilianza kumpotezea taratibu japo nilimuelewa lkn jamaa hakutaka iwe hvyo

Nilichogundua ni kwamba hawajawah kuwa na mtoto(hawana mtoto)na tatizo lipo kwa mkewe hvyo nia yake sasa anataka nizae nae na yupo tayar kwa lolote
Nikijiangalia mm hali yangu hohehahe cna kazi wala bazi alafu tena nikabebe mimba kweli huyo baba c atachok kulea lkn jamaa hataki kunielewa ye anataka nishike mimba mmh
Nikamwambia bac dini yetu inaruhusu kuoa mke zaid ya mmoja nioe tu hata kimya kimya alafu tufanye hcho utakacho KAGOMA,kasema anataka kwanza ahakikishe kama imekubali alafu mengine yatajulikana mbele,naona dalili ya kuwa single mom tena kwa kujitakia huku Ila namuelewa mjamaa kinoma
nimebaki dilema cjui hata nifanyaje nikiangalia wanaume ni wachache wanawake tumejazana rundo ndo nazidi kuchoka
Cheza biko wewe !!!
 
Wana wa haramu wamejaa katika jamii na bado ataka kuongeza idadi..kama apinga suala kukuoa basi ujue ataka kukuchezea tu
Shetani atakuingiza mtegoni kama hutakuwa na msimamo..mwambie hata suala la kuoa basi akatafute ka.haba wa kuzaa nae nje ya ndoa
 
Habar zenu wapendwa.
Mwaka miaka 2 iliyopita nilikutana nilikuwa na mahusiano na mkaka x,nilikuwa nae kwa miez nane bila kugundua tofaut yoyote
Siku ya siku nakuja kugundua Yule mkaka alikuwa ana mke wa ndoa kabisaaa,Aisee Niliishiwa poziNilimlaumu sana kwasababu huwa cpendi kuwa na mahusiano ya kimapenzi na mume wa mtu
Nilianza kumpotezea taratibu japo nilimuelewa lkn jamaa hakutaka iwe hvyo

Nilichogundua ni kwamba hawajawah kuwa na mtoto(hawana mtoto)na tatizo lipo kwa mkewe hvyo nia yake sasa anataka nizae nae na yupo tayar kwa lolote
Nikijiangalia mm hali yangu hohehahe cna kazi wala bazi alafu tena nikabebe mimba kweli huyo baba c atachok kulea lkn jamaa hataki kunielewa ye anataka nishike mimba mmh
Nikamwambia bac dini yetu inaruhusu kuoa mke zaid ya mmoja nioe tu hata kimya kimya alafu tufanye hcho utakacho KAGOMA,kasema anataka kwanza ahakikishe kama imekubali alafu mengine yatajulikana mbele,naona dalili ya kuwa single mom tena kwa kujitakia huku Ila namuelewa mjamaa kinoma
nimebaki dilema cjui hata nifanyaje nikiangalia wanaume ni wachache wanawake tumejazana rundo ndo nazidi kuchoka
Madamu unaincubator fyatua watoto na mume Wa MTU ukidai wanaume wachache wakat tunaona kila cku watu wanaoa nakuolewa huyo mjanja hana mpango wakuongeza MKE anataka ubebe mimba afu atakupiga sound halafu anakutunza miez ya mwanzo afu anajua jins gan atakimbia afu cku mkewe akizaa utajua faida yakuzaa na mume Wa MTU, kazana kuzaa mkuu
 
Sawa my kaka
822959fe75bd2a9b834cdaac06a9deef.jpg
 
Back
Top Bottom