Naombeni ushauri wenu jinsi ya kuishi na huyu x

MImawhite

JF-Expert Member
Sep 28, 2017
237
397
A alaykum wapendwa mm kuna kaka nimetokea kumpenda kutoka moyoni nakiri nimempenda huyu kaka kiukweli.huyu kaka nitampa jina x.nilikutana nae week mbili zilizopita lakin nakiri kuwa nimemuelewa(mm ni mtu mzima najua kuchanganua zuri na baya sio kwa vigenzo vyangu kanitidhisha) .

Tatizo huyu x yeye anashindwa kunielewa mm.mm ni binti mwenye miaka 24 nina mtoto yahn namaanisha nina maisha yangu .kiukweli ingawa na umri huo nilionao mm ni miongoni mwa mabinti amabao wamebeba majukumu mapema namaanisha na majukumu ambayo mengine bila mm hayawezi kwenda ni lazima nisimame kama mm ndio kila kitu kana kuwa poa.

Sasa huyu mwenzangu tatizo linakuja pale ninapoamua kutimiza majukumu yangu ndio yeye hapo huisi kuwa mm muda wote nafikilia wanaume tu.hali hiyo ua yeye kunihisi vibaya kwa kila nifanyalo inanipelekea nafsi yangu kuwa na maumivu makali some times nawish awe karibu yangu zaidi yahni tuwe pamoja kwa kila nalifanyalo ili apate kuamini.

Jana nilikuwa na safar asubuh ya kwenda Ardhi nilimfahamisha hivyo nae akaelewa sasa wakati narudi pia nikapigiwa simu tena ya dharura natakiwa niende Muhimbiri haraka .kitendo cha kumwambia mm naenda muhimbili ndio imekuwa chanzo cha tatizo ambacho kimepelekea yy kutokupokea simu yangu wala kijibu message zangu imshort kaniblock.

Sasa wapendwa mm naomba kufahamu huyu x ana mapenzi na mm au ananipotezea time maana nashindwa kumuelewa tunaweza kuongea vizuri tunapanga vizuri lakini yeye kubadilika na kuwa na hasira kwake ni dk moja.mpaka dk ya sasa ninavyoandika hii thread sijielew kweli nampenda lakin ananipa mawazo sana.naombeni ushauri wenu jinsi ya kuishi na huyu x au hakuna love hapa nisonge mbele.

NB :Sitaki matusi wala kejeli kwenye page yangu toa ushaur kulingana na uelewa wako hauna ushaur fanya kama huoni au akijaandika kitu.karibunk
 
Week mbili tu? Tayari ipo kama vile mmefahamiana miezi nane kwenye maelezo.

Tulia fanya mambo kwa kiasi iliyo nzuri maana harakati harakati za mambo ya mahusiano huwa na matokeo ambayo hupelekea maumivu upande mmoja au pande zote
 
Huyo jamaa ana habat sana week mbili tu kashaaminiwa kias hicho?

Yaan wanaume wa dar ndo maana tukijaga huko huwa mademu zenu tunawapiga mikas sana
 
Kwa nini usiongee naye hayo uliyoyaandika hapa? Kama nimeelewa ulichoandika, inaonekana yeye hajui hayo unayotamani ayajue kuhusu wewe. Na kama anahisi wewe unajishughulisha na wanaume; na wewe una uhakika kuwa haufanyi hivyo, basi funguka kwake umueleze unahitaji nini. Asipokuelewa, sasa hapo utajua cha kufanya next maana nawe utakuwa unaendelea kumwelewa zaidi.
 
Hapo sijakuelewa kabisa mkuu, Nahisi kichina china!!

hebu angalia unavyotulisha matango pori.

Tatizo huyu x yeye anashindwa kunielewa mm.mm ni binti mwenye miaka 24 nina mtoto yahn namaanisha nina maisha yangu .kiukweli ingawa na umri huo nilionao mm ni miongoni mwa mabinti amabao wamebeba majukumu mapema namaanisha na majukumu ambayo mengine bila mm hayawezi kwenda ni lazima nisimame kama mm ndio kila kitu kana kuwa poa
Hapo umesema mmekutana naye wiki mbili zilizopita ukatokea kumuelewa/kumpeda.

Sasa wapendwa mm naomba kufahamu huyu x ana mapenzi na mm au ananipotezea time maana nashindwa kumuelewa tunaweza kuongea vizuri tunapanga vizuri lakini yeye kubadilika na kuwa na hasira kwake ni dk moja.mpaka dk ya sasa ninavyoandika hii thread sijielew kweli nampenda lakin ananipa mawazo sana.naombeni ushauri wenu jinsi ya kuishi na huyu x au hakuna love hapa nisonge mbele.
hapo tena anakupotezea mda!!
 
Kwa nini usiongee naye hayo uliyoyaandika hapa? Kama nimeelewa ulichoandika, inaonekana yeye hajui hayo unayotamani ayajue kuhusu wewe. Na kama anahisi wewe unajishughulisha na wanaume; na wewe una uhakika kuwa haufanyi hivyo, basi funguka kwake umueleze unahitaji nini. Asipokuelewa, sasa hapo utajua cha kufanya next maana nawe utakuwa unaendelea kumwelewa zaidi.
Ahsante kwa ushaur mzuri nitaufanyia kaz
 
Kipi hujasikia,kipi hujaelewa .jitahid
Hapo sijakuelewa kabisa mkuu, Nahisi kichina china!!

hebu angalia unavyotulisha matango pori.

Hapo umesema mmekutana naye wiki mbili zilizopita ukatokea kumuelewa/kumpeda.

hapo tena anakupotezea mda!!
Huelewe hivyo hivyo mapnz ni mapnz haijalishi mmekutana kwa muda gani.mm nimeeleza my side kuwa nampenda /nimemuelewa namaanisha kuwa nimempenda zaidi yahn ndio hivyo .

Kama huoni vizuri tafuta miwani ya macho usome utaelewa nini namaanisha .ww utakuwa na kichwa kigumu tuvkuelewa mbona wenzio wameelewa
 
Hapo sijakuelewa kabisa mkuu, Nahisi kichina china!!

hebu angalia unavyotulisha matango pori.

Hapo umesema mmekutana naye wiki mbili zilizopita ukatokea kumuelewa/kumpeda.

hapo tena anakupotezea mda!!
Alafu wamekutana wiki mbili tu anamuita x, si angetafuta hata herufi nyingine tu maana mtu ukimuita x inamaanisha vingine.
 
Kipi hujasikia,kipi hujaelewa .jitahid

Huelewe hivyo hivyo mapnz ni mapnz haijalishi mmekutana kwa muda gani.mm nimeeleza my side kuwa nampenda /nimemuelewa namaanisha kuwa nimempenda zaidi yahn ndio hivyo .
Hapo sijakuelewa kabisa mkuu, Nahisi kichina china!!

hebu angalia unavyotulisha matango pori.

Hapo umesema mmekutana naye wiki mbili zilizopita ukatokea kumuelewa/kumpeda.

hapo tena anakupotezea mda!!
Na cjamaanisha kuwa ni x wangu no maana yangu x inasimama baada ya jina ndio hiyo x umeelewa mkuu
 
Na cjamaanisha kuwa ni x wangu no maana yangu x inasimama baada ya jina ndio hiyo x umeelewa mkuu
mkuu sina nia mbaya ya kubishana na wewe lakini ukijaribu kusoma Aya ya pili kutoka juu na ya pili kutoka chini ni kama vinakinzana hivi mimi ndo sijakuelewa!!!!
 
kazana kuua mende kwa rungu.

mwanaume hapendwi firstly ila anapenda kisha mwanamke unajifunza kumpenda.
 
Back
Top Bottom