Mshana Jr
Platinum Member
- Aug 19, 2012
- 269,607
- 696,733
Kwenye sakata la TL karibu kila organ ya serikali imetoa tamko (tusizungumzie utofauti wake) kuna vitu si vya kupuuza! Huku kwenye mitandao ya kijamii kuna mengi ya kweli na ya kizushi, ya kusingizia na hata ya kupika, kutunga.....!!!!
Kuna mambo hayako sawa na ni vema mamlaka husika kuyatolea tamko ili kuweka mambo sawa.... Mojawapo ni hili la kuingiliwa na majasusi wa kinyarwanda mpaka kwenye organs muhimu kabisa za nchi.
Ukisoma huko mitandaoni wanasema kuna mabinti wa kinywaranda ni majasusi wabobezi lakini wamepozi kama Masuria, huku kwenye wizara mbalimbali za Serikali si mara ya kwanza kukamatwa raia wa Rwanda wakiwa tayari wana nyadhfa na madaraka makubwa na nyeti kabisa
Kinondoni kumewahi kuripotiwa kukamatwa raia wa Rwanda wanaojifanya ni wafanyabiashara lakini wakiwa na viashiria vingi vya kufanya zaidi ya biashara!
Sasa tunaambiwa kuna viongozi wakubwa wanalindwa na askari wa kinywaranda. Ni habari za kuogofya kama ni kweli na kama ni za kupikwa ZIKANUSHWE MARA MOJA!
Tusitende kwa makengeza, BAHIMA EMPIRE ni dhana kificho inayopata uhai kwa namna ya ajabu kabisa(BAHIMA EMPIRE inasemekana ni mpango wa siri lakini mahsusi na wa muda mrefu sana wa kuifanya Afrika mashariki kuwa chini ya utawala watu wa asili fulani).
Kwa sehemu kubwa kabisa inawezekana ni uzushi na mambo ya kutunga lakini lisemwalo lipo!
Waendesha mpango huo wa BAHIMA inasemekana ni watu wasomi werevu wenye rasilimali za kutosha na ujuzi wa kila aina
Pengine BAHIMA ni mpango tu wa kuficha jambo lingine kubwa lisilojulikana.
Tuna watanzania wenzetu wasomi na watu maarufu wengine wakiwa wanasheria tegemewa wamekatishwa maisha yao lakini tuhuma wakirushiwa kundi BAHIMA lenye asili ya Rwanda.
Kama hili ni kweli sifurahishwi kabisa na kuingiliwa kiasi hiki? Je huko kwenye vyombo vyetu vya ulinzi tuko salama kiasi gani? Je hakuna majasusi huko waliopandikizwa? Bungeni je? Na huko kwingine je?
Uchaguzi mkuu wa Rwanda umepita na kumrudisha Kagame madarakani kwa ushindi wa tsunami asilimia 98 lakini wote tumeshuhudia uchaguzi ule ulikuwa butu, ulikuwa ni uchaguzi kukamilisha ratiba na kukwepa rungu la kimataifa kuhusu demokrasia lakini haukuwa huru wala wa haki.
Roadmap kuelekea 2020 hapa kwetu inaanza kutupa mwanga wa jinsi uchaguzi utakavyokuwa... Kuna kila dalili tunanakili kila kitu kutoka Rwanda! Tunaona wazi upinzani unavyonyongwa kwa styles zilezile za Rwanda, dhumuni ni moja tu kuudhoofisha kabisa ili ikifika 2020 uko hoi kabisa... Kisha uchaguzi ambao Utakuwa na ushindi wa tsunami
Sisi ni taifa kubwa lenye nguvu na watu makini sana, naamini story za BAHIMA empire ni za kufikirika zisizo na chembe ya ukweli! Na hata kama ni kweli basi ziishie huko huko..... Lakini ni mpaka pale itakapothibitika vinginevyo....!!!!