Natafuta field

Oct 3, 2016
74
23
Habari zenu wa JF. Mimi ni mwanafunzi nmemaliza certificate in business administration. Chuoni kwetu ni lazima tufanye field kwanzia certificate na kuendelea. Nlikua naomba mawazo yenu tu nikafanyie wapi field. Tafadhali naomba mnisaidie kimawazo
 
aaaaaah kumbe tumesoma chuo kimoja ila mimi ni mama ngoma.... njoo PM nkupe mawazo coz mi pia niko field nmepata sehem flani hivi
 
Back
Top Bottom