Kwa mahitaji yako ya Bima zote

MGEN ni kampuni moja kubwa sana... ila taarifa zako umeandika kihuni sana... ngoja wenyewe wakuone...
 
Kwa mahitaji yako ya Bima zote ziwe magari aina zote, nyumba, bajajis, mazao , Mali aina zote madukani au kwenye magala.

Claims tunatoa kwa wakati bila usumbufu

Popote ulipo tutakufata na kukuhudumia .

Ofisi zetu zipo haile sellas masaki.

Mgen insurance Tanzania
 
Back
Top Bottom