Msaada tafsiri ya FBP

BRAVER

Senior Member
Jun 23, 2015
105
94
Wadau naomba msaada wa haya matokea ya kipimo cha FBP. yana maanisha nini. Je kutumia matokeo haya daktari anaweza kujua mgonjwa anaumwa nini?
1477198848158.jpg
 
Kupanda kwa Lymphocytes na Monocytes inaelezea kuzalishwa kwa wingi ili kupambana na infection iliyopo mwilini
 
Kupungua kwa platelets inaelezea kupungua kwa uwezo wa damu yako kuganda utakapopata jeraha. Ila iliyokuwepo ya PLT 135m/mm3 bado hipo kwenye kiwango kizuri
 
Vipimo vinategemea na dalili ulizinazo coz kuna vipimo vingi kwa ajili ya virus tofauti ...
 
Dalili ni maumivu ya tumbo, gesi tumboni, kukosa choo, mgongo na maumivu mwili kwa ujumla
 
Wadau naomba msaada wa haya matokea ya kipimo cha FBP. yana maanisha nini. Je kutumia matokeo haya daktari anaweza kujua mgonjwa anaumwa nini? View attachment 422697
Mkuu BRAVER mimi nitakupa general interpretation ya majibu ya hicho kipimo cha Full Blood Picture ambacho umefanya na zaidi maelezo yangu yataegemea katika maeneo ambayo FBP imetupa out of range results.

Tukianza na sehemu ya kwanza ya kipimo, Leukocytes, hapa tunazungumzia chembe chembe hai nyeupe za damu,ambapo Total normal range kwa mtu mzima ni <4.00 -11.0 x10^9/L> Sasa basi majibu ya Leukocytes yakionyesha yako below 4 au above 11 basi hapo kunakuwa kuna tatizo ambalo sio rahisi daktari kusema tu wewe mgonjwa unaumwa kitu flani,ni lazima awe na factors zote zinazosababisha kuongezeka au kupungua kwa WBC kisha a rule out those negative factors (Tafsiri isiyo rasmi aondoe vichocheo hasi vya huko kupanda au kushuka na kubakiwa na visababishi chanya pekee ili kuweza kutambua tatizo ulilonalo).Mtabibu anaweza kufikia hilo kwa either kufatilia vizuri na kwa ukaribu
historia ya mgonjwa na kufanya vipimo vingine kadhaa.

Leukocytes kuwa below normal range that is to say less than 4.00 x 10^9/L,inaweza kusababishwa na either mashambulizi yatokanayo na viini vya magonjwa,matibabu ya mionzi,(Chemotherapy or Radiation Therapy),au kuwa na abnomality kwenye bone marrow inayosababisha uzalishaji hafifu wa WBC kwa mfano watu wenye leukemia.

Leukocytes kuwa above normal range,that is to say above 11.0 x 10^9/L,hii inaweza kusababishwa na mwili unapopambana na magonjwa,maumivu ya mwili yasiyo ya kawaida,Msongo wa mawazo (Stress) au abnomality in production. Kitaalamu Leukocytes elevetion ikijulikana kama reactive leukocytosis inaweza kuwa classified kwa kuangalia ni aina gani ya white blood cells component ambayo au ambazo ziko affected.

Kwenye case ya kipimo chako inaonyesha una Monocytosis kutokana na value ya monocytes kuwa kubwa kuliko normal range,na possibles causes ni
1.Cronic bakteria infections,kama za kifua kikuuu
2.Malaria
3.Inflammatory bowel disease
4.Connective tissue desease.
Pia vipimo vinaonyesha una Lymphocytosis kutokana na lymphocytes value kuwa kubwa than normal range na possibles causes ni sababu zote zinazosababisha Monocytosis na some Viral infections kama vile Hepatitis A,na Neoplastic proliferations of white blood cells.

Hitimisho:
Kutokana na maswali wadau waliyokuuliza na majibu uliyotoa,based on FBP results it is very possible mkuu wangu ukawa unasumbuliwa na Connective tissue disease(collagen vascular diseases) Au Chronic Ulcers,ingawa ni vema ukafanya vipimo vingine kama Barium Test,Allergy Test,na Biopsy Test.
 
umejibu vyema mkuu..nashauri apime hpylori test ili awe na uhakika kama ni ulcers inamnyemelea
 
Nashukuru sana mkuu. Madaktari wetu huwa hawana muda wa kuongea na mgonjwa kiasi hiki. Kwa ukweli mgonjwa aliwahi kusumbuliwa na malaria kwa karibu miaka kumi mfululizo, miaka hii miwili ukiwamo huu ndio haumwi sana. Sambamba na hill tangu 2002 anasumbuliwa na Tumbo. Alipima b/meal pale MMC eakati ule, wakaona D-Cup is ulcerated. Akatumia H/Kit. Hakukuwa na nafuu. 2004 Akafamya endoscopy Serian Hospital Arusha, Dr. hakuona ulcers ila kulikuwa na inflamation sana tumboni. 2010 akafanya tena endoscopy kwenye Private Hospita., Dr. Akasema kuna vidonda vingine vinaanza vingine vinapona akampa dawa pamoja na sindano ya kwenye mshipa tatizo halikuisha. 2016 akafanya tena endoscopy MNH, Dr. hakuona vidonda Ila Tumboni kuna inflammation sana. Kwa sababu ya kuwa na gesi nyingi sehemu ya chini ya kitovu pamoja na kukosa choo kwa hata siku tatu ameshauri afanye colonalscpy, hiki kipimo bado hajakifanya. Tatizo akipewa Yale madawa ya gesi Mara nyingi yanasabisha kukosa choo. Pia aliwahi kufanya kipimo cha Hpyroli majibu hayakuweza kuthibitisha uwepo au kutokuwepo kwa wadudu hao. Hii ni historia kwa kifupi.
 
Poleni sana mkuu,kwanza labda uzungumze mgonjwa ana umri gani?...Pia kwa upande wa ulcers kuna aina nyingi ingawa facts inabaki kuwa moja "inorder to be free from stomach ulcers,one must be free from H.pylori."Tatizo linakuja madaktari wetu wengi wanafocus katika drugs therapies ambazo wakati mwingine zinakuwa sio effective....kutokana na short history ya mgonjwa inaonyesha alikuwa na Peptic ulcers ambayo imekuwa resulted to refractory ulcer or inaweza kuwa ana stress ulcer.

USHAURI:

1.Anaweza kuendelea na vipimo kutokana na ushauri wa daktari ili kujua kwa hakika nini anasumbuliwa nacho
2.Kama ni mtu mzima abadilishe mtindo mzima wa maisha na ajiepushe na msongo wa mawazo
3.Anaweza pia kujaribu tiba za vyakula,kama yuko Dar es salaam anaweza kwenda pale kwenye kituo kinaitwa kwa bhakheresa ukitoka fire kama unaenda kariakoo kuna madereva wa teksi Ulizia duka la dawa za Kiarabu linaitwa Al-shifaa..Ulizia dawa za vidonda vya tumbo na constipation ajaribu kutumia asikilizie hali yake.
 
Back
Top Bottom