jerrysonkiria
JF-Expert Member
- Sep 5, 2014
- 2,232
- 2,884
Naongea hili kwa masikitiko makubwa,na nikikumbuka kauli yako Rais ndio napata uchungu zaidi ,pale ulipo sema utahakikisha wote watakaochaguliwa elimu ya juu watapata mkopo
Nasitisha mwaka wa masomo mpaka pale nitakapopata pesa ya ada,maana hali yangu hairuhusu mimi kusoma kwa sasa.Kama nisipotoa milioni moja na elfu hamsini sisajiliwi na mzazi wangu kupata laki tano mpaka asubiri kuuza mpunga wake tena anaweza asipate hiyo pesa kwa haraka kama chuo wanavyo hitaji.
Nakushukuru JPM na HAPA KAZI TU