Magesa Mulongo: Hakuna chakula cha msaada, atakayelia kuwa ana njaa tutampeleka jela akale bure

chinchilla coat

JF-Expert Member
May 16, 2016
5,107
10,961
Mkuu wa mkoa wa Mara Magesa Mulongo akiongea na wananchi wilaya ya Bunda amesema hakutakuwa na chakula cha msaada bali wanatakiwa walime, na kila mwananchi alime ekari kuanzia mbili za mihogo.

Na yeyote atakayeonyesha kulia kuwa ana njaa watampeleka jela ambako kunapatikana chakula cha bure.

Pia amesema kucheza pool table ni marufuku, na atakeyekunywa bia kabla ya saa kumi na nusu jioni atakamatwa.
 
mkuu wa mkoa toa mfano nunua mersey Ferguson mbili au tatu wakusanye vijana tafuta maeneo yalio wazi watu walime na si hizo porojo katika Tv uone kama hawatalima na kuwa na vikundi viingi vya kilimo..kulia lia hakusaidii..
 
Kwanza jela hakuna chak
Mkuu wa mkoa wa Mara Magesa Mulongo akiongea na wananchi wilaya ya Bunda amesema hakutakuwa na chakula cha msaada bali wanatakiwa walime, na kila mwananchi alime ekari kuanzia mbili za mihogo.

Na yeyote atakayeonyesha kulia kuwa ana njaa watampeleka jela ambako kunapatikana chakula cha bure.

Pia amesema kucheza pool table ni marufuku, na atakeyekunywa bia kabla ya saa kumi na nusu jioni atakamatwa.

Kwanza jela hakuna chakula cha bure... chakula wanachokula wafungwa kimelipiwa na serikali at a cost from taxpayers money, au wamezalisha wenyewe kwa gharama ya nguvu zao na inputs ambazo zimelipiwa.
 
Mkuu wa mkoa wa Mara Magesa Mulongo akiongea na wananchi wilaya ya Bunda amesema hakutakuwa na chakula cha msaada bali wanatakiwa walime, na kila mwananchi alime ekari kuanzia mbili za mihogo.

Na yeyote atakayeonyesha kulia kuwa ana njaa watampeleka jela ambako kunapatikana chakula cha bure.

Pia amesema kucheza pool table ni marufuku, na atakeyekunywa bia kabla ya saa kumi na nusu jioni atakamatwa.

Serikali ya Tanzania na viongozi wake hawajui kuwasaidia wananchi na kusikiliza shida zao ndio sababu ya wao kuwa madarakani. Instead wapo too arrogant na wana treat wananchi waliowaweka madarakani km wananchi ndio wanawahitaji wao zaidi kuliko wao wanavyowahitaji wananchi.

Tatizo la Tanzania, mtu yoyote anakuwa ni mwanasiasa wakati nchi zilizoendelea mwanasiasa anaandaliwa mapema, wanasomea siasa na wanafundishwa jinsi ya kudeal na watu wa aina zote.
Tanzania, utaona kiongozi anampa mwanafunzi ada kisha anaita waandishii wa habari wamsifie kuwa ametoa msaada. Wakati ni wajibu wake ahakikishe watu wote wanapata elimu bure.

Viongozi wasio na mantiki ni kuwafukuza mikutanoni ili iwe fundisho kwa wengine.
Tunataka viongozi watakaotutumikia sio wawe wafalme
 
Niliwahi sema hawa watu mungu kawanyima maarifa hawajui hata ni nini wanapaswa kuongea au kutenda na nini hawapaswi kuongea wala kutenda.

Msisahau boss wake aliwahi waambia wakazi wa Kigamboni wapige mbizi kama hawana hela ya kulipia kivuko.

Like father,like son.
 
Nidhamu ni jambo zuri and you cannot have too much of it. Lakini hawa 'viongozi'so called,too often they are controlled by other people. They have handlers. Kwa hiyo yanasemwa maneno kama haya ambayo yamelengwa kumfurahisha mtu mwingine ambaye amesimama karibu na kiongozi.

Back
Top Bottom