Mapato ya Halimashauri, kwanini yapelekwe Serekali Kuu?

Kibo10

JF-Expert Member
Aug 20, 2013
11,277
8,836
Serekali imeanzisha mpango wa fedha zote zinazokusanywa na halimashauri kupelekwa serekali kuu na baadae ndio zirejeshwe.

Huu mpango bado sijaelewa mantiki yake haswa, au ni kwasababu halimashauri zenye mapato makubwa zimeshikiliwa na UKAWA?

Na kama ndivyo, hii itakuwa kuleta siasa kwenye maisha ya watu.Ili kero za masikini zitatuliwe ni vema mapato ya halimashauri yabaki kwao na wazipangie mpango wenyewe, la sivyo tunarudi nyuma huku tukijipongeza.
 
Mnafikiria mawazo mgando tu shenzi nyie mlitaka madiwani wenu wazipige tumboni aaah no chance sio serekali hiii
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom