Wauza smartphone tukutane hapa

Boss kalewa 😀
Iphone 6s
32 GB
Fingerprint ✔
Battery health💯%
Price 430,000 🙂

55805B63-95BC-4119-9229-6EF8202CEBCA.png
BAE14F9F-223E-43FF-BFE9-1DF7F2CA8422.jpeg
150E3CD4-CAFA-4F7A-91CF-A6D0BD5DDB1F.jpeg
150E3CD4-CAFA-4F7A-91CF-A6D0BD5DDB1F.jpeg
41DACD1D-4212-4EF9-8343-2ED62768A716.jpeg
 
Device Name: TECNO SPARK 3 Pro
Camera Dual:13MP+2MP
Selfie: 8MP
Operation System: Android 9.0
Color: Aqua Blue
Ram: 2 GB
Internal Storage: 32 GB
Battery: 3500 mAh
Price: 28k.
Maelewano Yapo Bei za Mtumba Staki.
Imetumika miezi 4 tu kitu kipya haina Clack Listi ipo.
Call: 0763444962.
WhatsApp: 0763444962.
Location: MWANZA,IGOMA.
IMG_20191218_094758.jpeg
IMG_20191218_094855.jpeg
IMG_20191218_094924.jpeg
IMG_20191218_094826.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nauza Tecno Spark 2 , chaja yake , cava lake earphone yake..ina crackline kidogo kwenye screen ila haionekan ...bei 150k Nipo Dodoma
Piga/ Text 0629330383


RAM 1GB, 16GB STORAGE


kama upo mkoani uwe na mtu wa kuifata.
IMG_20191211_150545_8.jpeg
IMG_20191211_162315_3.jpeg
IMG_20191211_160942_3.jpeg
IMG_20191211_160931_4.jpeg
IMG_20191211_150548_4.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hakikisha unasimamia huu msimamo
Tumemtoa mtu selo masaa mawili yaliyopita na madai ya 3M kwa Samsung A30.....
Sema Bei yako hio ukikosa ya wizi kuna hati hati ya kupata bomu...
Hii dezo Inacost sanaa
Natafuta samsung galaxy s7 edge
Bei 180000—200000 top uwe na risiti ulizo nunulia
Nipo dar
contact - 0621058954

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mimi naweza kununua bila risiti ila lazma tuandikishane kwa mjumbe na police na vidhibiti vyote muhimu.
Hakikisha unasimamia huu msimamo
Tumemtoa mtu selo masaa mawili yaliyopita na madai ya 3M kwa Samsung A30.....
Sema Bei yako hio ukikosa ya wizi kua hati hati ya kupata bomu...
Hii dezo Inacost sanaa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mm hata km ananipa na risit as long sio dukani
Lazima nimrekodi na tuandikishianee...

Sasa unadakwa Unajitetea na risit Halaf jina si lako utatokaje hapo boss?
Mimi naweza kununua bila risiti ila lazma tuandikishane kwa mjumbe na police na vidhibiti vyote muhimu.

Sent using Jamii Forums mobile app
Mm nikiendaga kununua hizi mambo hizi risit zao za ki electronic nachukua ila nawaambia wanikatie na zile nyingne

Inaonesha jina lako..
Jina la bidhaaa....
Model yake....
Imei Number n.k
Na mwisho unatia na Sahihivyako kbsaa...

Hizi za ki eletronik
Wanaandika tu bei na simu
Hakuna jina la simu..
Hakuna jina la mnunuzi
Hakuna model ya simu
Hakuna imei number
Hakuna sahihi yako..

Si za kuamini sanaa
Zile zipo ki TRA zaidi na si usalama
Na hata muuzaji akiamua akugeuke km si mwaminifu ni rahisi
HUNA CHOCHOTE CHA KUSEMA HII BIDHAA NI YANGU....
NARUDIA TENA HUNAAA..
 
TUNAKUMBUSHANA TUU

Kwa kuzingatia hayo ya hapo juu ya kuhakikisha unapata risit ya pili yenye full inf

Pia Ukienda kununua simu hakikisha
Unapewa simu kwenye boks original la simu hio

Yaani namaanisha hakikisha
Imei # iliyopo kwenye Simu ndio hio hio iliyopo kwenye boks, na tena KIUHAKIKA ZAIDI hakikisha

Imei number anayokuandikia kwenye risit yako anaisoma kutoka kwenye simu unayonunua na sio boks au iliyokosewa..

Yaani kiufupi
Kama umenunua
Simu A, hakikisha unapewa Boks A na reset A

Sasa wewe chukulia poa

Unauziwa simu kwenye Boks ambalo si la simu hio,
Na mwenzako naye kauziwa simu kwenye boks ambalo ndio lako sasa..

Siku kapoteza simu...
very simple atangalia imei kwenye boks au risit atapeleka police wata ku trace wewe...

Unakuja unatoa reset ujitetee,
Kumbe siku anaandika imei kwenye risit hukua makini ukaacha akaandika imei kutoka kwenye hilo boks lako fake(ambalo simu yake ndio imepotea sasa) na sio simu, na bahat mbaya mwenzako naye aliandikwa imei kwenye risit kutoka kwenye boks(ambalo simu yake unayo),

Kwaio boks lako(ambalo ndio la simu hio) analo yeye,
Imei ya simu hio ipo kwenye risit yake...

Yaani
Wewe unasimu A, reset B na Boks B
Mwenzako yeye ana reset A na Boks A

Hahaaaa simple logic
A goes with A's
B goes with B

Then Simple math
3 : 2

Who win???

Utatokea wapi
Boks ulilonalo linakukataa...
Risiti uliyonayo inakukataa
Simu uliyonayo inakukataa..


Maana uhalali wa simu ni unaletwa na risit na boks halali.....

Oky
Utasema basi utatumia Imei za kwenye boks/risit yako ku trace simu iliyoibiwa sasa...

Kumbuka yy anajua kbsa kaiiba....
Na anajua imei itavutwa...
Haya sasa keshaibadilisha..
Una trace unaambiwa imei haipo....

Hahhaaa aloooo aibu yote kwakooo

Sasa wewe chukulia poa uone hii ni nadharia....

Umakini huo ungekusaidia sio tuu kuepuka kuonekana mwizi bali hata wewe endapo utapoteza yako.


Za kuambiwa changanya na zako...
Neno langu si sheria..

Nimewaza tuuu..

Upendo na amani
 

Similar Discussions

63 Reactions
Reply
Back
Top Bottom