Umeshawahi kuhonga wewe!?

Muuza simu used

JF-Expert Member
Aug 23, 2017
4,393
7,039
Wale mabahili lakini tunahonga tukutane hapa!
Nianze na Mimi kima cha mwisho kabisa nimeshawahi kuhonga kima cha mwisho kabisa Elfu 30tsh tena hadi Demu nimuelewe kweli kweli na lazima nimpe na zawadi ya mimba kabisa!
Je?wewe umeshawahi kuhonga bei gani na pia ukajutia sana!
Team mabahili tukutane hapa
 
Dah sasa hiyo 30 si nauli tu jamani
 
Naona hii ni thread ya wavulana tu hakuna wanaume hapa, yani unatoa elfu 30 unajisifia umehonga? Pesa haitoshi mlo wa siku moja nyumbani kwangu au niseme ni pesa ya mafuta kunipeleka kazini siku moja
 
Wale mabahili lakini tunahonga tukutane hapa!
Nianze na Mimi kima cha mwisho kabisa nimeshawahi kuhonga kima cha mwisho kabisa Elfu 30tsh tena hadi Demu nimuelewe kweli kweli na lazima nimpe na zawadi ya mimba kabisa!
Je?wewe umeshawahi kuhonga bei gani na pia ukajutia sana!
Team mabahili tukutane hapa
Naomba kujuzwa kama kuhonga na kununua ni vitu tofauti au ni jambo hilo hilo
 
Dah sasa hiyo 30 si nauli tu jamani
Yaani hiyo hata nauli haijatosha kabisa.

Niliwahi ku-bet nauli ya kutoka Mtwara hadi Mwanza.
Kiukweli kama asingekuja ningeumia mno.
Lakini mtu alifika vizuri.

Mungu amsaidie huko alikoolewa, maana alikuwa ni mchumba wa mtu kutoka Malawi.
 
150k nilihonga.
Yaani yule mwanamke alikua akitekenya tu kidogo natoa hela sijui alikua na dawa au ni mimi tu ndo nilizama maana alikua mzuri mno na yeye eeh.
Saivi nimekuwa mgumu kweli 20k tu imekuwa kimbembe kuitoa.
 
Una roho ngumu Sana aisee!

Back
Top Bottom