Ananipenda kwa dhati kila nitakacho napata lkn..

moniccca

JF-Expert Member
Nov 15, 2015
2,383
3,285
Naombeni ushauri wadau.

Nimeolewa nina miaka miwili sasa kwenye ndoa, tangu nimeolewa na huyu mwanaume kwa kweli hajawahi nikosea na kila siku anazidisha upendo kwangu,

kila ninachotaka napewa lkn moyo wangu haumpendi kbsa nipo nae tu kwasbb mwanzo nilikuwa nampenda lkn kwa sasa upendo haupo kabsa, yaani nikimuona tu najisikia kuchefuka.

Naona kama bado sijapata mtu sahihi yaani Nina hamu na dushe jipya.

Nahofia nisije achwa halafu nikakosa ninakodhani nitapata.

Ushauri wenu plz mapenzi ni hisia kwa huyu ndugu kwasasa hisia ni zero nifanyaje?
 
Haya kumekucha tena, watoa ushauri plz comments ziwe fupi fupi
12591-popcorn.jpeg
 
Bado nafanya upembuzi yakinifu... Hii ilikuwa Nov 2018

[quote uid=390483 name="APEFACE" post=29070684]Umeolewa????[/QUOTE]Niliolewa nikaachika

Nina miaka 32 sijui wala sikumbuki bikra yangu ilitoka lini wala sijui kwann ilitoka
 
Naombeni ushauri wadau.

Nimeolewa nina miaka miwili sasa kwenye ndoa, tangu nimeolewa na huyu mwanaume kwa kweli hajawahi nikosea na kila siku anazidisha upendo kwangu,

kila ninachotaka napewa lkn moyo wangu haumpendi kbsa nipo nae tu kwasbb mwanzo nilikuwa nampenda lkn kwa sasa upendo haupo kabsa, yaani nikimuona tu najisikia kuchefuka.

Naona kama bado sijapata mtu sahihi yaani Nina hamu na dushe jipya.

Nahofia nisije achwa halafu nikakosa ninakodhani nitapata.

Ushauri wenu plz mapenzi ni hisia kwa huyu ndugu kwasasa hisia ni zero nifanyaje?
Acha kazi uone kazi kupata kazi, tena kwa miaka 6 iliyobaki awamu ya tano shule unayoitaka utaipata tu
 
Naombeni ushauri wadau.

Nimeolewa nina miaka miwili sasa kwenye ndoa, tangu nimeolewa na huyu mwanaume kwa kweli hajawahi nikosea na kila siku anazidisha upendo kwangu,

kila ninachotaka napewa lkn moyo wangu haumpendi kbsa nipo nae tu kwasbb mwanzo nilikuwa nampenda lkn kwa sasa upendo haupo kabsa, yaani nikimuona tu najisikia kuchefuka.

Naona kama bado sijapata mtu sahihi yaani Nina hamu na dushe jipya.

Nahofia nisije achwa halafu nikakosa ninakodhani nitapata.

Ushauri wenu plz mapenzi ni hisia kwa huyu ndugu kwasasa hisia ni zero nifanyaje?
Samahani kusema..una misingi ya Kihuni,kiburi na dharau.!! Rekebisha hisia zako.. utaweza kuishi Kama ulivyojaaliwa, tafadhali tazama nje ya box!! Utaona masaibu ya watu wengi !! Duuh !! Utashukuru kuwa na chako...
Good luck
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom