The fact; Profesa Mussa Assad na Tundu Lissu ni walimu kwa Taifa. Nawaomba watanzania tusichonge sanamu la shujaa feki!!

mr mkiki

JF-Expert Member
Sep 22, 2016
5,583
11,659
Katika Katiba ya Tanzania Ibara ya 143 ina mpangilio wa hatua za nidhamu kwa mtu yoyote ya kujieleza wakati ukitoa maoni lakini hakuna nidhamu ya kujieleza.

Hawa watu wangekuwa wamekula rushwa au ufisadi hata kama wangekuwa wamefanya miaka nyuma sana wangesema wakati huu lakini hakuna namna kwasasa Assad na lissu ni wasafi katika yote hayo.

Yani wanatumia ukosoaji wa Assad kuwa bunge ni dhaifu kumtaka ajiuzulu inaonesha ni kwa kiasi gani ni muadilifu katika utumishi wake wa umma.

Pia wanatumia ukosoaji wa lissu kwa serikali hii dhaifu kwasasa kuwa ametumwa na mabebari, na kupata tatizo la kupigwa risasi 38 kuwa ni bora angekufa inaonesha ni kwa kiasi gani lissu alivyo muadilifu katika maisha yake.

Nilichogundua ni kwamba ukitaka kusimamia ukweli na wewe uwe msafi kweli , maana wengi wanashindwa kusimamia ukweli kwa sababu walishawahi kuharibu mahali.

Ndugai anafanya wagogo wote waonekane magogo tu.

Baadhi tumetoka makabila yaliyokuwa na watemi wachawi wengine watemi waliokufa kwaajili ya watu wao,Assad na Lissu wapo tayari kufa kwaajil ya watu wote. Nasema naomba Mungu awabariki maisha yao yote.

mr mkiki
 
Tatizo mvuta bangi ana wivu wa kike, hataki MTU mwingine yeyote amzidi umaarufu. Assad aatasumbuliwa sana na mvuta bangi indirectly
 
Back
Top Bottom