data
JF-Expert Member
- Apr 9, 2011
- 26,149
- 22,725
Itategemea duration ya tukio zima... Kadiri muda unavyozidi kuwa mrefu ndio maumivu yanavyokuwa mengi
Ya sindano ya sumu ina mchakato mrefu sana...hadi mtu afe anapitia mateso saanaa......
Itategemea duration ya tukio zima... Kadiri muda unavyozidi kuwa mrefu ndio maumivu yanavyokuwa mengi
Never...!
Mnyongwaji anahudumiwa kila kitu akipendacho... Inaitwa karamu ya mwishoNoma sana. Anaelewa na kupewa misosi ahitakayo ni mnyongwaji au mnyongwaji? Naona kama kuna mkanganyiko hapo.
Kwa hiyo anajua kabisa kesho ananyongwa? Fanya mpango udoondoshe hiyo part 2 kaka mkubwaMnyongwaji anahudumiwa kila kitu akipendacho... Inaitwa karamu ya mwisho
Mnyongaji anapumzika akijiandaa kutoa roho hivyo anapewa vilevi alirelax
aiseeAisee
Nakumbuka kuna nchi waliweka advert ya kazi ya kunyonga kwa mshahara mnono
Nili apply nikakosa
Katika kusoma soma story za adhabu ya kuuawa ni mara chache nimekutana na visanga vya mnyongwaji aliyejaribu kuleta ubabe. Nadhani wengi huwa ni akili zinakuwa zimehama wamebakia miili tu.Hairuhusiwi ila ukileta ubishi halafu ukakutana na mbabe keshakula vyake utaenda kitanzini kwa Tanganyika jeki
duhKwa wenzetu walioendelea bado wanazidi kuboresha adhabu ya kifo kwa
Kukuwekea chumba kizuri chenye AC na manukato
Taa nzuri
Kitanda cha stainless steel
Godoro la gharama
Mikanda laini ya pure leather
Sindano ya usingizi
Sindano ya kuondoa maumivu
Sindano ya sumu
Mchomaji expert nknk
Duh noma sanaYeah anaambiwa kabisa na muda
Hyo story ilishaletwa humu kitambo sana tena alihojiwa askari mstaafu ambae aliifanya kazi hyo kwa muda usiopungua miaka 25,alihojiwa na waandishi wa habari akaeleza kila kitu mpaka idadi ya watu walionyongwa kuanzia utawala wa nyerere mpaka........Sitaki kuikosa hiyo sehemu ya pili.
Nimevutiwa na kipengele cha mnyongaji naye kukamatwa na kusomewa mashtaka ya uuwaji.
Hapa katulisha matango pori atalewaje kazini...Jibu ni noooooMkuu hiyo ya mnyongaji kupombeka usiku kucha sijui kama nimekuelewa..
Maana kuna mnyongaji (mtaani ni maarufu kama nyonganyonga) mstaafu tuko nae kitaa,
Kunyonga kwake mbona haihitaji mbwembwe zozote (kulingana na maelezo yake) kama hizo za kupombeka usiku kucha..