Binti wa mkuu, ndani ya UDOM tena

Chrizo

JF-Expert Member
Jan 8, 2011
714
789
Amechaguliwa kujiunga na master's degree, ni yule matokeo yake yaliyoibua utata mwaka uliopita
43cc0758fc2bfad06d8ad6359605a4de.jpg

 
Kuna mdau alianzisha uzi wa kuomba msaada namna ya kuandaa posa kwa mtoto wa mkulu.

Naona sasa mambo yameanza kung'aa, nadhari mahari ni US Dollor kadhaa
 
mkuu umechangia kwa hisia Kali, nimeona wivu SNA kijana mwenzangu akiwa na elimu ya juu ktk umri mdogo...mzee wang angekua na hakiri hakika ningekua mbali sna Leo hii
 
Back
Top Bottom