Msaada kuhusu wanunuzi wa asali

Oct 3, 2015
25
1
Ndugu wana JF ninaomba msaada kupata wanunuzi wa asali ya nyuki wakubwa kwa bei ya jumla. Ni asali nzuri kutoka singida haijachanganywa na kitu chochote. Mawasiliano 0766849951
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom