Makampuni ya Tanzania katika game la Euro Truck Similator 2

Ivi kuna mabasi unawezaje kuyapata mabasi
Kuna vitu vinaitwa mods mkuu,ni file unazidownload then unaziweka ktk game lako kutokana na version ya game kulingana na mode inaweza cheza ktk version ipi. Jinsi ya kuinstal mods unaweza angalia hapa https://www.youtube.com/watch?v=ebhm_ebzLTg na kuzipata hizo mods za mabasi ingia hapa na uhakikishe mod unayoidownload inaweza kucheza ktk version ya game lako Bus | ETS2 Mods Car / Bus | ETS 2 Mods Buses kila lakheri
 
Kuna vitu vinaitwa mods mkuu,ni file unazidownload then un8aziweka ktk game lako kutokana na version ya game kulingana na mode inaweza cheza ktk version ipi. Jinsi ya kuinstal mods unaweza angalia hapa https://www.youtube.com/watch?v=ebhm_ebzLTg na kuzipata hizo mods za mabasi ingia hapa na uhakikishe mod unayoidownload inaweza kucheza ktk version ya game lako Bus | ETS2 Mods Car / Bus | ETS 2 Mods Buses kila lakheri
Kumbee poa sana nitafanya hayo manuva, shukran
 
attachment.php
attachment.php
attachment.php
attachment.php
attachment.php
Habari wanajf. Unaweza ukajifunza jinsi ya kubadilisha makampuni katika Euro Truck simulator 2 na ukaya replace na kubadili muonekano wa trailers pia yakawa ya makampuni ya kitanzania. nimeattach picha lakini sijui kama zitakubaliwa kutokana na mambo ya kibiashara.link hii

Great....nzuri sana
 
Last edited by a moderator:
Mkuu Mimi ninalo hili game full version but game lina stuck sana laptop yangu ina processor ya 2.4, nifanye nn ili niinjoi game hil
pole mkuu,RAM inatakiwa iwe atleast 2GB na kuwe na free space ktk drive ambayo kuna windows usually Drive:C pia jaribu kuweka low quality ktk garphics options ktk game settings
 
pole mkuu,RAM inatakiwa iwe atleast 2GB na kuwe na free space ktk drive ambayo kuna windows usually Drive:C pia jaribu kuweka low quality ktk garphics options ktk game settings

Jana nime liupdate nikaweka izo mods za mabasi maps sounds na logo ila key nilizo nazo zimegoma ku activate kama unazo key nisahidie niachane na DEMO
 
pole mkuu,RAM inatakiwa iwe atleast 2GB na kuwe na free space ktk drive ambayo kuna windows usually Drive:C pia jaribu kuweka low quality ktk garphics options ktk game settings

Ahsante mkuu but ram ina 4 GB, space ipo ya kutosha, ngoja nijalibu kuweka low quality kwenye grafics
 
Back
Top Bottom