Nini sababu za kuchepuka?

Serikali3

Senior Member
Jun 8, 2014
110
74
Kuna dada mmoja ameajiriwa hivi karibuni sasa cha kushangaza ameolewa kama mwaka mmoja hivi uliopita lakini amejiriwa nje ya mkoa wa Dsm.

Mume wake anaishi Dar kilichonifanya nilete hii post ni baada ya kumuona mazoea ya haraka ya kuchat na boss hasa kwenye WhatsApp.

Baadae wakaanza kutoka naye kimapenzi na huyo mdada kuanza kujigamba na kuonesha anaongea sana na boss wake huyo.

Lakini cha kushangaza huyu mdada ana unafiki wa hali ya juu sana pale anapoweka kwenye wall yake nakupenda sana mume wangu, mara sijaona kama wewe, wewe ndio kila kitu kwangu, mara asante yetu wewe ni mwokozi wangu, huku akiendekeza michepuko, sijui nini hasa sababu yake ya kuchepuka.
 
Kuna dada mmoja ameajiriwa hivi karibuni sasa cha kushangaza ameolewa kama mwaka mmoja hivi uliopita lakini amejiriwa nje ya mkoa wa Dsm. Mume wake anaishi Dar kilichonifanya nilete hii post ni baada ya kumuona naazoea ya haraka ya kuchat na boss hasa kwenye WhatsApp na baadae wakaanza kutoka naye kimapenzi na huyo mdada kuanza kujigamba na kuonesha anaongea sana na boss wake huyo.lakini cha kushangaza huyu mdada ana unafiki wa hali ya juu sana pale anapoweka kwenye wall yake nakupenda sana mume wangu, mara sijaona kama wewe, wewe ndio kila kitu kwangu, mara asante yetu wewe ni mwokozi wangu, huku akiendekeza michepuko, sijui nini hasa sababu yake ya kuchepuka.

nilishakata tamaa ya kuanzisha serious relationship kwasababu hizi hizi z mtu kuwa mnafi.
 
nilishakata tamaa ya kuanzisha serious relationship kwasababu hizi hizi z mtu kuwa mnafi.

Huyo mme wake kashndwa kumhudumia mkewe,au mkewe ana tabia hyo kitambo,kuna wengne wanaolewa fashion ila they know nothing,ucjikatili kwa kutokuwa na mpango wa kuanzisha serious relationship kwa mifano ya hawa wasiojitambua.
 
tamaa, distance, kutojielewa, kutothamini ndoa, kupenda makuu aonekane yeye anaweza kuwa na boss etc. Either of these inaweza kuwa sababu
 
Kunguru hafugiki, kashazoea huyo....then hawa "baby, I love u so much" ni wa kuwaangalia kwa macho ya ziada. Ukute anaweka dp ya picha ya mmewe na status nzuri ili kumblind....
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom