Utambulisho (Member Intro Forum)

Say hello and introduce thyself to the other JF members...
  • Closed
  • Sticky
SHERIA NA KANUNI ZA JAMII FORUMS Tafadhali jiepushe na mambo yafuatayo: 1. Kumvunjia heshima, kumkejeli, kumtukana, mjumbe yeyote. 2. Kuleta katika JAMII FORUMS maelezo yenye maudhui...
24 Reactions
2 Replies
23K Views
Hodi humu! Naitwa Husna The BossLady, naishi Dar. Inshallah tutaendelea kufahamiana zaidi ila kama una swali kunihusu karibu. ..... Kwa niaba ya maswali yote yalioulizwa: * Mnaotaka kunifahamu...
40 Reactions
881 Replies
74K Views
Habari zenu. naitwa Aniva ni msichana 25-30's Age Nimejiunga humu Jana. Naombeni Kiti Na miongozo ya humu ndani. Ntafurahi Kama nitapata marafiki Wa aina zote Asanteni.
35 Reactions
760 Replies
39K Views
Habari wana jf! Siku izi zama zimebadilika sana, hadi kina bibi tunajua na bdo tunaendelea kujifunza ktumia mitandao.. Mim n bibi wa mwendokasi, Naomba mnipokee kwa mikono mi2. Povu...
12 Reactions
534 Replies
16K Views
Hello friends, My name is Anna Maria Buberwa, aged 24 years old. I am from Bukoba, though now am living in Dar es Salaam Oyster bay. Thanks. -------------- Karibu sana JF mkuu Anna Maria...
24 Reactions
524 Replies
54K Views
Wana jukwaa hamjambo ? Jaman mimi mgen hum ndani natumaini mtanipa taratibu za hum jukwaani nini napaswa kukisema na nini sipaswi kukisema Asanteni wote natumai niko kwenye mikono salama
3 Reactions
332 Replies
14K Views
Hi there, I have just joined the Jamii Forum
1 Reactions
280 Replies
15K Views
Hellow wana JamiiForums, mie ni mgeni tuu. Naombeni ushirikiano wenu na mapokez mazuri. Nawapenda
18 Reactions
268 Replies
18K Views
Habari members... Mimi ni mgeni humu Jf na nineijua punde tu Jf kupitia Facebook. Naombeni mnielekeze ,mnipokee na kuwa namm humu jf. Nitafurahi mkinikaribisha vizur pia kama nitapata marafiki...
2 Reactions
242 Replies
10K Views
Mnipokee wajameni... kuna uzi umenivutia humu mpaka nmeamua kuwa member. Nawapenda jamiiforums members
8 Reactions
230 Replies
9K Views
Baada ya kuperuzi umu kama guest,Leo nimeamua kujiunga rasmi Naomba umnipokee Mimi member mpya humu ila muenyeji hahahahaaa Ahsanten sanaaa...
7 Reactions
227 Replies
10K Views
Wasalaam! Nimekuwa mgeni wa jf kwa muda, sasa nimeamua kujiunga nanyi rasmi. Naomba mnipokee,mnielekeze na kuniongoza wenyeji wangu.
8 Reactions
225 Replies
8K Views
Naitwa jonax a.k.a Kikofia. Picha yangu hiyo[emoji116] natumaini nitapata mapokezi mema, kama mlivyompokea member mpya.[emoji116] Liknk: https://www.jamiiforums.com/index.php?posts/17591462...
1 Reactions
212 Replies
11K Views
I’m new here[emoji847]
9 Reactions
205 Replies
8K Views
Hi
hellow
2 Reactions
188 Replies
11K Views
Waungwana wote hamjambo? Nimekuwa nikisoma JF na nimevutiwa saaa na michango yenye kuelemisha. Mimi ni mdada wa umri wa kati niliyeishia sekondari na kujiendeleza. Naomba ukaribisho wenu...
0 Reactions
165 Replies
10K Views
Habari zenu wana JamiiForum, Mimi ni mgeni katika hii media, ni matumaini yangu nitapata ushirikiano mzuri kwenye matumizi ya hii media kwa kunielekeza yote nisiyoyajua Shukrani sana
7 Reactions
154 Replies
8K Views
Wakuu mm mgeni kwene huu mtandao Ndo nimejiunga leo jF ushauri
9 Reactions
149 Replies
3K Views
Me mgeni,nipokeeni.
5 Reactions
149 Replies
16K Views
Hi
Me ni mgeni naomben mnipokee[emoji124] [emoji124]
7 Reactions
143 Replies
8K Views
Back
Top Bottom