Urembo, Mitindo na Utanashati (Lifestyle)

JF Lifestyle: Mijadala kuhusiana na masuala ya Urembo, Mitindo na Utanashati kwa ujumla wake
  • Redirect
Habari wadau naomba nielekee moja kwa moja kwenye point, kumekuwa na tabia ya wadada wengi kupenda kuvaa cheni mguuni a.k.a kikuku bila kujua au kujua maana yake halisi MAANA YA KIKUKU Marekani...
1 Reactions
Replies
Views
Habari zenu wapendwa na ombeni kujuzwa hichi kitu lakini na tumaini majimbu mengi yata toka sana upande wa ke..naomben kujua kazi ya cream mbalimbali zinazo patikana maduka ya vipodozi..na kwann...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Habari za leo Tuende moja kwa moja kwenye hii mada fupi Sipendi kuona wanawake wenzangu wakijichubua (japo na wanaume wengi nao wanashika kasi) Ila siwez kulaumu hata siku moja kwanini...
5 Reactions
26 Replies
13K Views
Kila kitu huwa kinafanyika kwa sababu maalum Unajibu gani kulingana na hii mada? Tushirikishane
1 Reactions
34 Replies
4K Views
Wakat flan nawaza nasema labda ndo uzee nao unakuja kwa speed ya 4G. Maana kuna vitu mi vilinishinda toka niko mdogo. Nmekutana na jamaa mmoja kavaa nguo zake ni nzuri tu zingeweza mpendeza. Ila...
2 Reactions
12 Replies
2K Views
  • Redirect
Nauzoefu wa kazi za salon ya kike kusuka,makeup,kushonea na kubond wiving n.k kama kuna mtu anahitaji mfanyakazi wa kiume wa salon ya kike aniambie 0715992666
0 Reactions
Replies
Views
Wakuu. Sio kila aina ya nguo inamfaa kila mtu, kuna mawazi ya yanawafaa watu wenye maumbile flani na mengine hayawafai watu wenye maumbile flani. Wanaume warefu kaptula hazitufai, hizi zinawafaa...
9 Reactions
57 Replies
9K Views
kama kichwa cha mada kinavyojieleza je ni kipi hasa humpendezesha mtu? je? uzuri upo kwa mtu? nikiwa na maana kuna watu wazuri zaidi ya wengine? kama ndivyo ni kwanini kuna dhana ya mtu kupendeza...
0 Reactions
39 Replies
7K Views
Kuongezeka kwa wanaume wanaofanya scrub, mask, wanaoweka wave ni kihashiria tosha sasa wanawake wamepata washindani. Sijambo lakushangaza kumkuta mtoto wa kiume, mwanaume amevaa jeans iliyobana...
7 Reactions
124 Replies
13K Views
Habari za jioni wapendwa.. Jamani wadada humu hakuna linaloshindikana naimani ..shida yangu kubwa nataka mshono amaizing ambao utanitoa chicha wa usiku nahitaji na ushauri wa aina ya material ya...
1 Reactions
12 Replies
7K Views
Kuna maswali mengine huonekana ni ya kijinga lakini yana maana. Kwa wadau ambao mmeoa na nyumba unayoishi sio master bedroom, nyumba nzima mnatumia choo kimoja hivi boxer zenu huwa mnaanika...
4 Reactions
95 Replies
9K Views
Baada ya onyo kwa wanaocheza uchi napenda niwajuze dressing code ya nchi jirani kwa wafanyakazi. Ni nzuri na inaleta heshima. Female officers To dress in a skirt or dress that is not above the...
0 Reactions
0 Replies
959 Views
Harufu ya kwapa husababishwa na bakteria ambao huvunjavunja protein iliyopo kwenye jasho na kutengeneza asidi yenye harufu kali. Dawa ni kuua hao bakteria au kuzuia wasizaliane. Hizi deodorants...
9 Reactions
30 Replies
15K Views
  • Redirect
Habari wakuu, naomba msaada nitumie dawa gani ya kuzuia mapele ya ndevu wakati wakunyoa before nikinyoa nilikua sitoki mapele now mapele yanatoka tena yanauma, nawasilisha.
0 Reactions
Replies
Views
Nadhani boys/men wenzangu mtakua shahidi kwa haya mambo juu ya hawa wasicha. >> Unakuta msicha kajipamba kapambika/ Kajiremba karembeka boy unamtokea unavuta mzigo getoni, baada ya kutaka kuanza...
38 Reactions
279 Replies
24K Views
Hapo vip!! Kunajamaa angu mmoja na nimebishanae sana eti ameniambia sometime yeye kunasiku anapiga misele yake akiwa amevaa suruale tu pasipo kuvaa chupi au boksa ni nijamaa wa dar.Nikawa...
2 Reactions
50 Replies
10K Views
`Nimekaa na kuwaza nikaona si vibaya kukumbushana na kuelimishana juu ya kutunza nguo zetu za ndani, ~Inajulikana kuwa nguo za ndani ni muhimu kuvaa zile zinazonyonya jasho kwa wepesi zenye...
11 Reactions
49 Replies
10K Views
  • Redirect
Kama una kitambi au tumbo kwa mwanaume na huna muda wa mazoezi basi tiba imepatikana nimeijaribu kwa mwezi mmoja na nimeona matokeo chanya Asubuhi ukiamka kunywa vifuniko viwili vya konyagi...
2 Reactions
Replies
Views
Binti Sahar Tabar wa Iran mwenye miaka 19, amefanya upasuaji wa sura yake mara 50 ka gharama kubwa ili afanane na muigizaji wa Marekani Angelina Jolie. Nini maoni yako
0 Reactions
85 Replies
10K Views
  • Redirect
Habarini za wakati huu nipo hapa kuhitaji msada katika hili, mie ni kijana wa kiume, nina nywele kiasi chake na nywele zangu hizi sitaki kuzinyoa mbaya zaidi nikizichana zinauma balaa na...
0 Reactions
Replies
Views
Back
Top Bottom