Urembo, Mitindo na Utanashati (Lifestyle)

JF Lifestyle: Mijadala kuhusiana na masuala ya Urembo, Mitindo na Utanashati kwa ujumla wake
Je mazoezi haya wakati wa kufanya unatakiwa tumbo liwe limerelax umeliachia au umekaza tumbo?
1 Reactions
52 Replies
12K Views
Nyakati za leo ambapo uvaaji chupi kwa wanaume na wanawake uko juu sana kuanzia watu tunapokuwa watoto wadogo hali ya Afya ya viungo vya uzazi imeendelea kuwa mbaya sana. Yafuatayo ni baadhi ya...
14 Reactions
138 Replies
29K Views
Habari wapendwa, Kuna huu mtindo nauona kwa watu wa mjini Dar wakiongozwa na wasanii kuvaa miwani ya jua usiku tena hata kwenye kumbi za starehe na club. Je ni ujanja au ulimbukeni nisaidieni...
1 Reactions
15 Replies
3K Views
*QUALITY ASSURANCE DRESS CODE FOR MEN* Looking good is very important but how many men actually know what it takes to look good *Here are 18 style rules every man should live by* 1. Your belt...
6 Reactions
19 Replies
3K Views
Huwa najiuliza wanawezaje? Wakati wa ujauzito mwili upo vile vile, akijifungua mwili upo vile vile, je hawali sana? Kama hawali mtoto anapaje maziwa? Mfano Hamisa mobeto, napenda jinsi...
7 Reactions
100 Replies
13K Views
Kinadada wengi huangaika mara kwa mara kwa lengo la kuhitaji kuwa na nywele nzuri zenye muonekano mzuri kila siku, lakini kwa bahati mbaya sana si wote wanabahatika kufanikiwa kuwa na nywele hizo...
2 Reactions
1 Replies
5K Views
Hivi wakina dada hizo lipstick huwa zina nini aisee maana tukiwakiss huwa tunahara kweli, yaani unakuta bidada kajikandika lipstick kama karai la kuchamganyia udongo mfinyanzi! Utasikia Just kiss...
12 Reactions
59 Replies
5K Views
  • Redirect
Habari zenu wapendwa wangu.... mwenzenu nasumbuliwa na michirizi mwilini na ninaona inazidi kutokea. hipi ni njia sahihi ya kuiondoa hii mivitu. ushauri tafadhali.
4 Reactions
Replies
Views
  • Redirect
Uchunguzi unaonesha asilimia kubwa ya watanzania meno yetu hayang'ai sana lakini wapo wachache meno yao ni meupe sana. Jiangalie mwenyewe na uniambie upo kwenye kundi gani? Kisha niambie je...
0 Reactions
Replies
Views
Umuofia kwenu wanajamvi, Nimekuwa nashangazwa na tabia za wanaume wenzangu ambao huwa hawachani nywele zao na hivo kuwafanya kuwa very rough and dirt guys. Hii inatokana na ubusy wa mtu au uchafu...
0 Reactions
12 Replies
2K Views
Wapenzi nina nywele za asili ni ndefu sana, lakin nikichana sasaI hivi zina toka hadi mzizi, na juu zinakatika . je nikipaka extra virgin oil(olive) yatanisadia wenye nywele natural naomba...
0 Reactions
22 Replies
16K Views
Jaman wanajukwaa ,kwa anyefaham mafuta mazuri kwa ajil ya kutengenezea rough dread ,naomba anambia na pia jinsi ya kizitunza
2 Reactions
1 Replies
3K Views
Amani iwe kwenu. Kama nilivyo anza na kichwa cha habari mwenye ujuzi ama ufahamu wa kwanini nguo ugeuzwa ndani nje wakati wa kuanika baada ya kufuliwa? Nawakilisha
2 Reactions
32 Replies
5K Views
Siku hizi kuna ongezeko la wanaume kuvaa pensi fupi Unakuta msela ana guu la bia halafu laini hata kovu hana anavaa pensi ujue anaonekana kama shoga Mwanaume rijali kama mimi mguu umekomaa na...
33 Reactions
555 Replies
66K Views
Nisaidieni aina ya body spray nzuri kwa wanawake ambayo inanukia vizuri na kwa muda mrefu,,nataka nimnunulie mke wangu! Sent using Jamii Forums mobile app
2 Reactions
67 Replies
34K Views
Ukuaji wa teknolojia umeongeza kwa kasi mabadiliko katika ujenzi wa nyumba zetu miaka ya nyuma wengi walipaka rangi cream au nyeupe kwa ndani tofauti na siku hizi ambapo rangi huchanganywa kwa...
1 Reactions
1 Replies
21K Views
Yaani siku izi wadada wengi haswa warembo na wa maofisini wanamchezo wa kutembea na tishu na vijitambaa flani mfano wa tishu vinakuwa na unyevu unyevu hivi sasa kumbe hizi tissue na vijitambaa ndo...
32 Reactions
270 Replies
28K Views
Habari zenu wana jamii! Ninaomba kujua nini hasa dhumuni la mwanamke kuvaa shanga? Je wakati wa majambozi nini mwanaume anapaswa kufanya au kuzichezea vipi hizo shanga? Kama kuna ujuzi wowote...
1 Reactions
51 Replies
27K Views
Habari za mishe za mchana wadau.twende kwenye mada,hivi hawa mabraza men wanaovaa vile vijinsi vinavyobana ndo fasheni au vp.utakumkuta mtoto wa kiume kavaa kijinzi kinabana mnoo ndo nini...
3 Reactions
32 Replies
6K Views
Back
Top Bottom