Urembo, Mitindo na Utanashati (Lifestyle)

JF Lifestyle: Mijadala kuhusiana na masuala ya Urembo, Mitindo na Utanashati kwa ujumla wake
Kwa nini waafrika wanajibadilisha rangi? Mitindo ingekuwa na maendeleo kiasi gani bila uwepo utumwa na ukoloni? Katika mfululizo wa Barua kutoka kwa Waandishi wa habari wa Afrika, Mwandishi na...
0 Reactions
22 Replies
3K Views
BAADHI ya wanaume nchini wanatajwa kuwa kichocheo cha wanawake kutumia vipodozi vyenye viambata vya sumu ambavyo vimekuwa vikiwapa madhara ya ngozi. Hayo yalielezwa Dodoma jana na Meneja wa...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Kiatu cha OXFORD (the oxford shoes) ni viatu ambavyo vimetokea kupendwa dunia nzima , vikitofautina kidogo na DERBY SHOES . Sehemu ya kwanza kuonekana aina hii ya viatu ni Scotland na Ireland ...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Naomba msaada wa kuelimishwa juu ya namna ya kuondoa kovu kwenye paji la uso kwa mtu ambae aliwekewa akiwa mdogo, kovu linakua kama jinsi ilivyo ndonya (shilingi) au kama wanavyowekewa kabila la...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Uzi huu ni maalum kwa wale ote wenye nywele za singa,tumeane dondoo jinsi ya kuzitunza kama mafuta na mengine mengi ili ziwe za kuvutia zaidi. Nawasilisha
0 Reactions
4 Replies
5K Views
Check Hi Style Noma
1 Reactions
11 Replies
6K Views
Wadau hili ni swali linalonifikirisha sana Naomba mnisaidie wajuvi Zile zipu za mbele kwenye suruari za kike waga ni za kutolea nini?
0 Reactions
23 Replies
5K Views
Wadau! Naomba kujua ni perfumes gani nzuri za bei kuanzia 15000-30000, yawe produced in Europe not Asia.
0 Reactions
19 Replies
20K Views
Napenda kutumia nafasi hii kuwapa salam wote ninyi wahangaikaji ndani ya uzini huu special ,asallam,samahani naomba aliye na ujuz wa wakurefusha ndevu.ziwe ndefuu na Nene nyeusi tafadhil sana...
1 Reactions
7 Replies
5K Views
  • Redirect
Wana Bodi ya Urembo na mitindo nina nywele Kipilikipili nimetumia mafuta aina ya Oliver oil bila mafanikio. yaan unachana baada ya masaa mawili zinarudi kuwa Kipilikipili na hazijajaa...
0 Reactions
Replies
Views
Asante Rayvanny kwa kunifumbua macho. Ila yaliyomo yamo kweli shogaangu Donatila ? Mbona haijajichora?
4 Reactions
44 Replies
8K Views
Hivi wale watu wanakuaga na viuno laini ni wanakua wamezaliwa hivo walaini au ni mazoezi ?Kama ni mazoezi ni yapi hayo waweza kufanya kiuno kiwe laini.... Napenda hiyo shughuli kucheza, kutwerk...
14 Reactions
226 Replies
63K Views
Wakuu nawasilimieni nyote, Moja kwa moja kwenye mada tajwa hapo juu, Nimejaribu kabla ya ku-post uzi huu kuona kama kuna uzi ulishawisilishwa humu wa namna/njia/dawa/mafuta maalum yasiyo na...
0 Reactions
19 Replies
65K Views
Mtindo mpya wa kuacha ndevu zilizo na mvi 'ulioibuliwa' na Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa, Freeman Mbowe umeonekana kupata wafuasi baada ya Mbunge wa Rombo Joseph Selasini kuonekana katika mtindo...
2 Reactions
14 Replies
8K Views
Kuna wadada mpaka leo wanaamini kua sisi wanawake tunaweza kufanya kila kitu wanaume wanafanya, My dear wewe unaweza kuvaa nguo ya ndani moja kwa wiki nzima? Tukubali tu vitu vingine ni wao tu...
1 Reactions
43 Replies
5K Views
Jamani hili suala najiulizaga kila siku Sijawahi kumuona mwanamke mwemba amejifunga kanga ila leo nimemuuliza rafiki yangu hili swali amesema kuwa wanaogopa eti wataonekana kama wana mguu mmoja...
2 Reactions
77 Replies
9K Views
Naomba mnisaidie dawa yakuondoa chunus ndogondogo juu ya uso Nitumie nn au dawa gani ili zikauke
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Wale wanaopiga mswaki nje ya nyumba hasa wanaume tena kandokando ya njia huku wamevaa vibukta vifupi vimeishia kwenye mapaja na tumbo wazi sio ustaarabu.
7 Reactions
71 Replies
6K Views
Jana kwenye msiba wa Masogange (R.I.P) nilipata kuwaona wasanii wengi wakiwa nje ya studio za kufanyia shooting. Wengi walikuwa na muonekano wao wa asili usioboostiwa na make ups. Wengi kwa kweli...
4 Reactions
33 Replies
24K Views
Back
Top Bottom