Urembo, Mitindo na Utanashati (Lifestyle)

JF Lifestyle: Mijadala kuhusiana na masuala ya Urembo, Mitindo na Utanashati kwa ujumla wake
Habari zenu ndugu zangu! mimi ni mwanamke wa miaka 30 sasa! Ndugu zangu jana usiku nimegundua kuwa kucha zangu zipo hivi! Kamstari kama rangi ya kahawia uliokaa kama duara hivi! Hiki kidole...
1 Reactions
56 Replies
39K Views
Jamani mi napenda sna perfume, tena sana. I have many diffrnt prfumes in my wardrobe. My favourite ar : 212 sex by Caro Herera : Midnite fantansy by Britney Spear : Glow after dark by J.lo ...
2 Reactions
128 Replies
38K Views
Habarini wana JF Naombeni mnijuze ni mafuta yapi mazuri kwa mwanaume mwenye nywele fupi tu za wastani. Yapi yanapendezesha nywele na kuzifanya ziwe nadhifu na za kuvutia?
0 Reactions
63 Replies
37K Views
Wandugu naombeni dawa ya kuondoa mvi kichwani. Kwani nywele zangu zimejaa mvi. Miaka yangu ni 40+ tu. Kama kuna dawa nipeni.
4 Reactions
103 Replies
37K Views
  • Redirect
Nywele natural ila kipilipili cha hatare nataka zinyooke ukiweka dawa zitaota tena? Mimi nina rules kadhaa nimejiwekea kwa nywele zangu natural na nimeona maendeleo kwa kweli...mwanzo ilikuwa...
7 Reactions
Replies
Views
Ipi lotion ya kiume inafaa kwa men?isiwe inachubua na iwe inasoftisha tu ngozi Na pia nataka ya kung'arisha kwa ajili ya demu wangu aka wife mtarajiwa
0 Reactions
43 Replies
37K Views
Sio lazima kila wakati watoto wetu tuwasuke vidole vya maputo au kuwavisha vikofia vilivyosukwa kwa uzi. Mtoto pia anaweza kusukwa rasta simple kabisaa na akapendeza vizuri. Kina mama hata kina...
3 Reactions
56 Replies
36K Views
Kumekua na tabia ya wamama wengi wanaokaribia kujifungua kupiga picha za nusu utupu zikionyesha ukubwa wa tumbo /mimba. Hii trend ya picha hizi niwahi kuziona mara ya kwanza kwa mastaa wa nje...
1 Reactions
172 Replies
36K Views
Habari zenu wanawake wenzangu.. Hivi hizi alama za brazia huwa inawezekanika kutoka kweli? naamanisha zile sehemu inayopita brazia..inaacha mark mno jaman..nimeanza jichukia Je kuna dawa yyt...
19 Reactions
512 Replies
36K Views
Habarini?? Natumaini mu wazima, Leo ngoja tujadili kidogo steaming asilia ambayo unaitengeneza mwenyewe na kuboresha afya na muonekano Wa nywele zako Mahitaji;- parachichi yai la kuku Wa...
3 Reactions
16 Replies
36K Views
Habari. Naomba kujua dawa ya kufanya nywele fupi kuwa na mawimbi pamoja na mafuta yake baada ya dawa. Hapa namaanisha nywele kwa mfano za lulu zinavyovutia na nyingine kama hizo.
0 Reactions
22 Replies
36K Views
  • Closed
Natanguliza smahani kwa wale wote ambao wataudhika....Nauliza hivi wasichana na wanawake kuvaa nguo fupi wanapoenda makanisani wakati waume hutinga suti ni mafundisho au kanisa laruhusu viguo hivo...
7 Reactions
221 Replies
35K Views
Moja ya hasara ya mwanamke aliye hodari na kazi za nyumbani ni viganja vya mikono kuwa vigumu au vikavu.Kama unafua na maji na sabuni,kuosha vyombo,kusafisha nyumba,kubadili watoto nepi au...
2 Reactions
7 Replies
35K Views
Kwa sasa unajipuliza pafyum gani [emoji848] Mimi Sauvage by Dior, wewe je?
6 Reactions
122 Replies
35K Views
Mwaka huu nimejiwekea lengo la kuwa FIT. Nimeanza mwaka kwa mazoezi sasa hivi namaliza mwezi najisikia vizuri sana. Mazoezi sio lazima uende Gym. Hata chumbani au nje ya nyumba yako unaweza...
49 Reactions
536 Replies
35K Views
Kwasasa, Kwa Wanawake imekua ndio fashion ya mujini. Gym za mjini zimejaa mikanda na spring za kubana mapaja ili Wanawake waupate huo uwazi unaowavutia wengi. Wengine wamefika mbali zaidi kwa...
11 Reactions
269 Replies
34K Views
Hili pozi lao ukichanganya na nguo walizovaa inakuwa mtafaaruku kidogo jamani. Wadada hawa wakipozi tayari kupata picha ndani ya kiwanja fulani cha burudani. jamani wadada tujiheshimu basi kwa...
11 Reactions
171 Replies
34K Views
Jamani hebu tuelimishane. Misuko inayopamba vichwa vya dada zetu wa kiafrika inaitwaje? Mwenye kutambua majina yake basi atuorodheshee tupate shule.
0 Reactions
21 Replies
34K Views
Habari zenu , Mim naomba kujuzwa jinsi gani wanavyopaka "makeup" hawa warembo wetu wa Tz, na ni vitu gan haswa unatakiwa uwe navyo mf.foundation na vingine ambavyo mnajua wataalam wa sekta ya...
1 Reactions
57 Replies
34K Views
Wadau Nahitaji kujua salon nzuri ambazo wananyoa nywele na kuzistyle vizuri kwa hapa dar. Na pia bei zao zipoje. Nataka style kama hizi tuuu [emoji116]
3 Reactions
40 Replies
34K Views
Back
Top Bottom